Wakuu kama kawaa apoποΈ
Nimedeploy MVP ya project yangu mpya inaitwa Baebe (Ni Ladies service marketplace humo kuna category za kikubwa , mambo ya home services kama kufua kupika , massages. ambapo users wanalipia ku-unlock contacts za providers so kaz ni kuhakikisha provider ni lady kweli sio kidume.)
SO LENGO KUPUNGUZA wapigaji wanaoact kama wanawake ila kumbe ni Men kwa sasa
itakuwa providers wa Dar tu
Nimeileta hapa jukwaani nipate macho ya kidev. Naomba mpite nayo m-test UI/UX, functionality, na flow nzima ya website, wale wazee wa hacking pia unaweza jaribu kuhack iyo website, pia jaribu kufake au kucheat mfumo
Niko tayari kwa feedback zote ushauri, mapendekezo, na hata kukosolewa (roast the web app freely, itanisaidia ku-improve ππ½).
Link
BaeBe β Verified Ladies-Only Home & Lifestyle Services
π Test Accounts:
Usernames: tester01 au tester02
Password: TESTtester012
Karibuni kwa feedback wakuu, natanguliza shukrani!