Need Testers? Share Your Software Here | Weka Software Yako | Get Feedback

Need Testers? Share Your Software Here | Weka Software Yako | Get Feedback

Rayns

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2023
Posts
5,701
Reaction score
10,854
Habari Developers,
Kama una software/app/project na unahitaji watu wa ku-test na kukupa feedback, iweke hapa 👇

Include:
  • Jina la app/project
  • Link ya ku-download au ku-access
  • Platform (Web, Android, iOS, Desktop, n.k.)
  • Unachotaka kitestiwe (bugs, UI, performance, au vyovyote, n.k.)
Testers:
Jaribu kuangalia projects/apps za wengine na toa feedback ya maana ili kutiana moyo katika moja na mbili...!

#Mchango wako Msaada kwa mwingine...!
 
🔥🔥
 
Mkuu weka software yako basi, maana ulipotea miezi 5 nafkiri umekamilisha...!
Mmmmh lavda niweke hizi beginner beats za fl studio maana napiga beat najicheka mwenyewe😳😆😆😆
 
Wakuu kama kawaa apo🖐️

Nimedeploy MVP ya project yangu mpya inaitwa Baebe (Ni Ladies service marketplace humo kuna category za kikubwa , mambo ya home services kama kufua kupika , massages. ambapo users wanalipia ku-unlock contacts za providers so kaz ni kuhakikisha provider ni lady kweli sio kidume.)
SO LENGO KUPUNGUZA wapigaji wanaoact kama wanawake ila kumbe ni Men kwa sasa
itakuwa providers wa Dar tu

Nimeileta hapa jukwaani nipate macho ya kidev. Naomba mpite nayo m-test UI/UX, functionality, na flow nzima ya website, wale wazee wa hacking pia unaweza jaribu kuhack iyo website, pia jaribu kufake au kucheat mfumo

Niko tayari kwa feedback zote ushauri, mapendekezo, na hata kukosolewa (roast the web app freely, itanisaidia ku-improve 🙏🏽).

Link BaeBe — Verified Ladies-Only Home & Lifestyle Services

🔑 Test Accounts:
Usernames: tester01 au tester02
Password: TESTtester012

Karibuni kwa feedback wakuu, natanguliza shukrani!
 
Back
Top Bottom