Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

CV yangu hii
Naishi mkuzo
Sina dini
Sina kazi yaani jobless
Ni mfupi sana na mnene
Nina watoto wanne
Naishi nyumba ya urithi
Kwakuwa we ni muajiriwa naomba unilee mi ntakuwa marioo wako.
Umri wangu ni miaka 53.
Pia nina juhudi za kulima
Na niko na chale mwili mzima
cold water naomba unikubalie
 
Mimi ni ke,Natafuta mchumba umri miaka 34, sifa na muomekano mwembamba mweupe,mrefu kidogo awe muajiriwa wa Songea Ruvuma ,makazi yawe ya kudumu huku songea,dini roman....mimi pia ni muajiriwa karibu dm....usiwe na familia kuanzia watoto wawili ,labda mmoja tu .awe tayari kupima afya.
Okay

Cc Rayns
 
Back
Top Bottom