Mwanamke Dar ajifungua laptop

Mwanamke Dar ajifungua laptop

ajajajaja! sasa waijaribu hiyo laptop ka inapga dili fresh! huyo mama apewe mimba nyngne asaiv atajifungua mapacha

Daah hii nimeipenda. Huyo angekuwa mke wangu nikipiga mfululizo watoto 10 naanza mchakato wa kufungua fremu kariakoo ya kuuza laptop....
 
Yaaani ansubiri mtu ajifungue toyota ist
 
Back
Top Bottom