T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 8,484 Reaction score 17,298 Dec 1, 2024 #121 dini zimewafanya watu weusi kuwa wajinga wa duniani kutwa kucha ni kusoma na kukariri njozi zilizoandikwa miaka maelfu iliyopita
dini zimewafanya watu weusi kuwa wajinga wa duniani kutwa kucha ni kusoma na kukariri njozi zilizoandikwa miaka maelfu iliyopita
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,937 Dec 1, 2024 #122 Kuku akifa anaenda wapi?!
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 8,623 Reaction score 12,206 Dec 1, 2024 #123 Tuseme chochote chenye uhai kikifa kinaenda wapi?