Moshi mjini bajaji ni nyingi mno

Moshi mjini bajaji ni nyingi mno

Bajaji za Moshi Mjini kuelekea KCMC zilikuwa nyingi sana muda kidg na mbona zilishafutiwa hata usajili...walisema hawasajili tena bajaji za route hiyo kwa namna yoyote mpaka Hiace zilitoka brbrn

Tulishaleta Bajaj za India kwa duka la Panjwan na Uncle wangu
 
Hii njia Ya Mmbuyuni KCMC ni buku tu.Biashara ya Tax imekufa rasmi sasa
 
Je hii inaashiria nini kiuchumi na serikali ina mpango gani na vijana wa Tanzania??
Inawatumia kama mtaji wa kisiasa. Inawapa bora elimu badala ya elimu bora, inawaambia wajiajiri wakati mtoto wa Samia na mume wake ni mawaziri hajajiajiri.

Hawa vijana wanapewa sungura na dabo kiki ili akili zao ziwe vagaranti wasiweze kuwaza lolote.

Nchi zote smart zinazothmini kesho za vijana wake hamna hizo pombe za kipumbavu.

Adui wa Watanganyika ni CCM
 
Highlife,smart Gin zinapigwa promo kama kitu cha thamani kila siku
 
Back
Top Bottom