bajaji

Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.

View More On Wikipedia.org
  1. masopakyindi

    Mkuu wa Mkoa Mbeya awapa bajaji siku tatu kuhama TANZAM highway!

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Sagini amewapiga mkwara mzito wenye bajaji. Kawaambia mwisho jumapili, jumatatu bajaji isionekane barabara Kuu ya TANZAM. TUKUMBUKE Wiki karibia nne zilizopita bajaji waligoma kwa siku karibia nne wakitaka waachiwe kuendelea kubarizi hii barabara kuu. Kwa Mbeya...
  2. Paul Mchumi

    MBEYA NI KAMA BAJAJI NI NYINGI KULIKO IDADI YA WATEJA

    Kamwe usianzishe biashara kwasababu Umeona mwenzio ameanzisha na anapiga pesa. Kumbuka kila biashara inachangamoto zake,na inahitaji uzoefu flani. Jana nilikua Jiji la Mbeya ni kama BAJAJI NI NYINGI kuliko idadi ya watu wanaohitaji huduma hiyo(sina uhakika hii ni assumption tu). Nikawaza...
  3. Zack Abdul

    “Namshukuru rais Samia” — mzee Kugia akabidhiwa bajaji

    “Nilikuwa na mawazo, nilikuwa silali… Sasa Mungu ameniona kupitia kwako, kupitia Samia namshukuru.” Hizi ni shukrani za Jonas Machilu Seni Kugia, aliyepata ulemavu baada ya kugongwa na bajaji, baada ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kumkabidhi bajaji ya kumsaidia kujipatia kipato. Mzee...
  4. A

    KERO Askari wa Barabarani Arusha wanatunyanyasa sisi madereva Bajaj

    Mimi ni mkazi wa Arusha. Kero yangu inahusu baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) ambao wanatunyanyasa sisi madereva wa bajaji. Kuna maeneo ya Arusha mjini ambayo haturuhusiwi kuingia, licha ya kuwa maeneo hayo ndiyo yenye fursa nyingi za kupata riziki. Tukiingia maeneo hayo na...
  5. Wakili wa shetani

    Bora mji ujae bajaji na si bodaboda.

    Nilifika Mbeya niilishangaa sana wingi na vurugu za bajaji. Lakini kitu kimoja nilinotisi ni kutokuwepo bodaboda. Bodaboda ni za kuhesabu sana. Unaweza kaa barabarani nusu saa usione bodaboda ikipita. Kwa tunaokaa miji yenye bodaboda nyingi tunafahamu hatari na kero za bodaboda. Pia nimeona...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Madereva 19 wa Bajaji Mbeya Wahukumiwa Mwezi Mmoja Jela kwa Mkusanyiko Usio Halali

    Sakata la madereva wa bajaji jijini Mbeya limechukua sura mpya baada ya madereva 19 kuhukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela kwa kosa la kufanya mkusanyiko usio halali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP Benjamin Kuzaga amethibitisha kuwa madereva hao walikamatwa baada ya kukaidi agizo la...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Serikali Yasitisha Usajili wa Bajaji Mpya Mbeya, Zilizopo Zapewa Siku 14 kutumia barabara kuu

    Serikali imesitisha usajili wa bajaji mpya katika Jiji la Mbeya, huku bajaji zaidi ya 6,000 zilizopo zikiruhusiwa kuendelea kutumia barabara kuu kwa siku 14 wakati tathmini ya changamoto za miundombinu ikiendelea. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
  8. Parabolic

    Bajaji zaanza kurejea mtaani Mbeya, daladala zalalamika

    Bajaji jijini Mbeya zimeanza kurejea barabarani baada ya kusitisha huduma kwa takribani siku mbili kupinga kuondolewa katika barabara kuu ya Tanzam, huku wananchi wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC), Jumanne Sagini, kusimamia msimamo wake wa kutaka vyombo vya usafiri kuzingatia sheria. Hata...
  9. Roving Journalist

    Video ndefu ya kilichotokea Oktoba 21, 2026 kati ya Mbunge na Madereva Bajaji wa Mbeya waliofanya mgomo

  10. masopakyindi

    Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya: Bajaji zidhibitiwe Mbeya, ni kero kubwa

    Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma. Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa. Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na...
  11. C

    Jumanne Sagini atoa ufafanuzi sakata la waendesha bajaji Mbeya

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Jumanne Sagini, ametoa ufafanuzi kuhusu vurugu zilizojitokeza kwa baadhi ya waendesha bajaji mkoani humo kukaidi maagizo ya Serikali na kuamua kujichukulia sheria mkononi kwa kuanzisha vurugu. Akizungumza katika TBC Aridhio leo Oktoba 20, 2026, Sagini amesema mnamo Oktoba...
  12. Jaji Mfawidhi

    Bajaji na Boda ni Bomu la Atomic

    Mbeya : LATRA ndio wasimamizi wa vyombo vya usafiri nchi kavu. LATRA ndio waliotangaza Route na kutoa TLB. LATRA ndio walio ondoa BAJA na Siyo Polisi wala Wamiliki wa Daladala. LATRA ndio wana mamlaka ya kuweka route na kuifuta maana wao ndio kazi yao na tunawalipa kwa hilo. Leo , Mbagala huku...
  13. M

    KERO Bodaboda na bajaji standi mpya ya Kigoma zinatumia njia za waenda kwa miguu, jambo hatari hili

    Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali. Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda...
  14. L

    Moyo Wa Huruma Upendo na Ukarimu. Rais Samia Amzawadia Bajaji Mpyaaa ISSA Musembe Mwenye Ulemavu na Muimbaji wa Nyimbo Za Uzalendo

    Ndugu zangu Watanzania, Mfariji Nambari Moja wa Taifa hili na Tumaini la Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia Kwa Moyo wake wa Upendo, Huruma na Ukarimu Amezawadia Issa Musembe Ambaye ni Mlemavu na Pia...
  15. K

    Madereva wa Bajaji Bolt na stori za hapa na pale!!!

    Madereva wa Bajaji (bolt) stories zenu zinafikirisha sana, sasa sijui zinakuwa za ukweli asilimia ngapi?? Huu ni mtiriri wangu: 1. Aisee kuna demu mmoja wa kishua kanipenda sana, tunagonga humu humu kwenye Bajaj yangu. 2.Dada mmoja mteja wangu sana tu,tumezoeana!! Siku nimempeleka kwake mvua...
  16. D

    Wote Simba! Hapo sawa kabisa, maana kama mmoja angekuwa Yanga, kesho moja wenu angelala nje! 😂

    Wote Simba! Hapo sawa kabisa, maana kama mmoja angekuwa Yanga, kesho moja wenu angelala nje! 😂 Mambo ya bajaji moja Chanika + demu Simba + uko vizuri kipesa = umeshinda tayari hata kabla ya mechi ya kesho. Kesho ukimaliza kazi, kachukue soda mbili, kaa naye muangalie Derby vizuri. Simba...
  17. K

    Bajaji TVS King DSP Inauzwa Iringa

    Bajaji TVS King DSP inauzwa, iko katika hali nzuri na tayari kwa matumizi ya kila siku. Ni chaguo zuri kwa biashara ya usafirishaji abiria au kwa mtu anayehitaji bajaji ya kazi. Taarifa muhimu: 🚖 Model: TVS King 🟢 Rangi: Green 🪪 Namba: MC DSP 🔧 Engine ipo na inafanya kazi 💪 Chassis/body imara...
  18. Jaji Mfawidhi

    Polisi : Marufuku Bajaji kubeba abiria siti ya Mbele.

    Sheria ipo, polisi hapa anakumbushia tu, abiria wa bajaji ni 3 tu, hao wanaozidi wakipata ajali bima haiwatambui. Bajaji kalipa LATRA kubeba abiria 3 u, wewe unayeongezea untafuta balaa tu. Bajaji zote zinazopata ajali na bairia mbele, hakuna anayepona , sababu, derev anakuwa kashikilia...
  19. M

    Kuanzia Leo Septemba 29 boda boda na bajaji wasiofuata sheria kubanwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limeanza operesheni maalumu ya kuwabana waendesha bodaboda na bajaji wanaokiuka sheria na kanuni za usalama barabarani. Operesheni hiyo, inayoanza Septemba 29, 2026 na kutekelezwa nchi nzima, inalenga kuongeza utii wa sheria na kupunguza makosa...
Back
Top Bottom