Mnaikumbuka hii?

Mnaikumbuka hii?

Umenikumbusha gudi gudi bwana, mama alikuwa anajua nini nahitaji endapo akitoka kwenda matembezini.
Back to picha,hiyo hela nakumbuka niliificha chini ya kitanda ili mdogo wangu asiibe.

"Nlikuwepo":bolt:
karibu sana .... hivi gudi gudi zipo bado?
 
Wewen unasema noti ya mia mbili na siye wa noti ya shilingi tano aka dala je tutasemaje?. Nakumbuka ukipewa mia moja (msimbazi) wakati huo wewe ni lord ile mbaya. hahaha long time.....
 
mkuu juzi wakati unamuona mkapa anagara hapo baada ya kupigwa msasa kwenye photoshop,kuna wengi tu wamezaliwa kipindi jk yuko madarakni au waliozaliwa kipindi ambcho mkapa yuko madarakni walikuwa bado hawaijui hela ni nini wala hawajui thamani yake
Hizi ni za juzi mkuu,hazina hata miaka 10
 
tuwekee na nyimbo ya enzi hizo tuburudike zaidi
 
attachment.php


shilingi miambili ya noti,wangapi tuliitumia??

kila mtu anazamani yake bwana wengine wataulizia noti ya sh.kumi
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    8.4 KB · Views: 194
  • image.jpg
    image.jpg
    6.8 KB · Views: 191
  • image.jpg
    image.jpg
    15.6 KB · Views: 193
  • image.jpg
    image.jpg
    55.6 KB · Views: 212
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom