Mnaikumbuka hii?

Mnaikumbuka hii?

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
attachment.php


shilingi miambili ya noti,wangapi tuliitumia??
 
Aaaghj hizi si za juzi tu hapa?

mkuu juzi wakati unamuona mkapa anagara hapo baada ya kupigwa msasa kwenye photoshop,kuna wengi tu wamezaliwa kipindi jk yuko madarakni au waliozaliwa kipindi ambcho mkapa yuko madarakni walikuwa bado hawaijui hela ni nini wala hawajui thamani yake
 
mia mbili nilinunulia biscuti bibi na gudi gudi

Umenikumbusha gudi gudi bwana, mama alikuwa anajua nini nahitaji endapo akitoka kwenda matembezini.
Back to picha,hiyo hela nakumbuka niliificha chini ya kitanda ili mdogo wangu asiibe.

"Nlikuwepo":bolt:
 
nilikuwepo.. ila sikuitumia!

my parents did that for me!
 
Back
Top Bottom