BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,212
- 14,412
Kuna namna mtu mpaka unajishtukia hakuna progress yoyote katika maisha inabadilika miaka pekee ila maisha still the same inahuzunisha sana.
Hakuna hata sehemu moja uliyofanikiwa sio uchumi wala mahusiano at the same time unashuhudia watu mliokuwa kwenye kupambana pamoja wanafanikiwa lakini wewe hata robo ya mafanikio yao hufiki.