Mbeya wadada wengi hawajatulia aisee

Mbeya wadada wengi hawajatulia aisee

Wakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi Ilomba.

Kwa nje ni wastaarabu ila shika simu, hukosi Tinder na badoo, kama ukikosa hivyo ukiwa na namba yake utamuona kama suggestions kwenye IG au FB ukichungulia huko ndio unapata picha yake sasa. Ah wadada wa Mbeya aisee, kabwe jioni pale kama watu vile. Kila nikisema nitulie na huyu lazima nione jambo, wanachosha kinoma.
wana matako makubwa?
 
Alokwambia uje kuniuzia uoga kuhusu wadada wa mbeya mwambie nimesema hujanikuta. Hao watu wewe umekutana na mjini mbeya toka kidogo nje ya mji upate mdadc wa maana sio hao majambazi ndugu yangu
Weuh hata huko nje hawajatulia aisee kuna vijiji huko nje mbusususu zinatembezwa balaaa labda useme chunya huko ndo moto wa kuotea mbali au tuseme kyela aisee utaacha ndala kifupi mbeya inabidi uwe radar hakuna mpenzi wa peke ako
 
Amia Mbalizi Ifisi kwa watoto washamba washamba wanaotoka Rukwa kuja kusoma chuo cha afya pale kama unataka wa peke yako.😀
Weuh wafipa wa mbalizi hao ni balaa hata asijaribu mbalizi ni pa ovyo kupata demu wa peke ako labda ukawange na kuroga na umeme umeshamiri balaa ukigusa tu ushaunganishwa na gridi ya taifa
 
Wakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi Ilomba.

Kwa nje ni wastaarabu ila shika simu, hukosi Tinder na badoo, kama ukikosa hivyo ukiwa na namba yake utamuona kama suggestions kwenye IG au FB ukichungulia huko ndio unapata picha yake sasa. Ah wadada wa Mbeya aisee, kabwe jioni pale kama watu vile. Kila nikisema nitulie na huyu lazima nione jambo, wanachosha kinoma.
Watulie ili iweje,au unatiba nyingine ya nyegezi tofauti na kulombana.
 
Kule upande WA nakonde hakufai kabisa Kwanza Ile Tabia yao wanaenda chooni bila maji doh 🫢
Mademu wa kizambia wachafu sana, kwanza kwao kufuga mavu...z na kuacha nywele za kwapani sijui ni sunna?🙄
Kwakupenda kujichubua sasa acha kabisa, vipodozi vyote feki tokea Congo vinaishia Zambia Nakonde🤣
 
Usisahau watu wa mbeya wengi washamba na wanajifanya wajuaji, na hiyo mbeya kupata UKIMWI nje nje
 
Mademu wa kizambia wachafu sana, kwanza kwao kufuga mavu...z na kuacha nywele za kwapani sijui ni sunna?🙄
Kwakupenda kujichubua sasa acha kabisa, vipodozi vyote feki tokea Congo vinaishia Zambia Nakonde🤣
Halafu Mtu akichubua ngozi anakuwaga na kaharufu Fulani hivi

Ila yote kwa yote Ndo wanaume wanapenda hivyo
 
Mademu wa kinyaki ni shida nyingine hiyo kwenye hiyo michezo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom