wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. min -me

    Siku hizi ukisikia wadada wanataja kuvutiwa na aina, kabila fulani la sisi 🤣

    Siku hizi ukisikia wadada wanataja kuvutiwa na wanaume wa aina fulani ,tambua hao wanaume ni magoigoi ya mwisho , ambayo hao wanawake wanaweza kuwamudu . Hakuna mwanaume mwenyewe akili timamu , mwanamke wa kizazi hiki atamkubali moja kwa moja . Kwa sasa hizi jinsia zinavutiwa na...
  2. TheGreatest Of AllTime

    Ngoma za kuhimiza matusi zilizo hewani, wadada wa maudhui ya utupu wanapewa promo mitandaoni na malezi dhaifu ya wazazi. Hapa mabinti wenu hawachomoki

    Ni ngumu sana maana binti kazungukwa na matusi kila kona haswaaa hawa mabinti amba baba zao lazima avuje jasho na mgongo uume ndio apate pesa.
  3. MFALME WETU

    Wanawake kubalini kuwa kuna baadhi ya style hamziwezi kunako 6x6

    Acheni kuwa much know, kubalini kuwa style ya kuikalia hamuiwezi. kama hata malaya wanaojiuza hawaiwezi who are you?😂 Ni hayo tu
  4. Equation x

    Wadada mnapokuwa kwenye mahusiano na wababa wanaojitambua, kuweni wavumilivu. Sisi wababa huwa tunashusha mijengo

    Mchepuko ulivyokosa zawadi kutokana na tamaa za hela za muda mfupi Niliingia kwenye mahusiano na mdada mmoja nikiamini atakuwa tulizo la moyo wangu. Kutokana na uzuri wa nje, ulinishawishi nimpende kweli kweli ikiwa ni pamoja na kuboresha sehemu ya maisha yake. Mdada huyo bado hajajenga...
  5. and 998 others

    Mrembo asisitiza maadili kwa wadada wenye tamaa za IPHONE 18 (video)

    Mrembo toka Masaki amesisitiza wadada waache tamaa katika maisha
  6. bahati93

    Mimi kuanzia leo wadada wote wenye Pua msambao kama Nice B sitaki mazoea

    Mimi kuanzia leo wadada wote wenye Pua msambao kama Nice B sitaki mazoea. Alafu wabongo tuache unafiki hii pua asili yake inajulikana inapotoka, humu jukwaani kila siku Mnazonga sana mabinti wa Kichaga lakini mabinti zenu wa huko mwisho wa reli, Aaanka mnajikausha.
  7. Gunner11

    Wadada, Nini Kinawavutia kwa Mwanaume Hasa?

    Unajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari. Je kwa upande wenu huwa inakuaje? Maana unaweza ukawa handsome ila ukakoswa swaga, ukakosa uterezi, alafu kanakuja kadude ka ajabu kana vibweka na vichekesho then unaambiwa kanaitafuna ile pisi mpka unakaa...
  8. Gunner11

    Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

    Yaani sijui ni nini kwakweli unakuta mdada smart kabisa unakuwa unadhani labda atakuwa sio gold digger. Ila Ukisema tu tuonane shida ndo inaanzia hapo, yaani anataka hela tena wazi wazi bila aibu. Sasa na mm nakupa alaf na kuchapa napita kushoto. Mimi naonaga viumbe vichafu ni wanawake maana...
  9. M

    Eti wadada wa benki wangekuwa hawakai nyuma ya vioo wangepokea kichapo

    Wahudumuwa benki wanaongea kama hawataki wakati wanatoa huduma, mdada hapo anawaonya la sivyo tableti ya kichwa itawahusu
  10. Financial Analyst

    Slangs za kuwatambulisha aina za wadada tofauti mtaani

    1: Pacome Mademu wanao nyoa na kupaka bleach za rangi kwenye nywele Mfano: "huyo pacome wako mtaachana tu" 2: Makebe Demu alie na makebo makubwa (makalio makubwa) Mfano: "makebe mmoja kapita hapa, aisee anayatingisha" 3: Tilatila Demu alie mnene/kibonge Mfano: "tilatila mmoja ndio amevunja...
  11. Jannatul Firdaus

    Hizi ni Sifa za wadada wanaoishi peke yao; Je wewe unaijua ipi

    Hizi ndizo sifa za wadada wanaoishi peke yao, zikiangazia tabia na maisha yao ya kila siku kwa njia ya utani na ukweli wa mitaani. Hawapendi Wageni: Akija mgeni ananuna na kufikiria ni saa ngapi ataondoka ili arudi kulala au kuangalia muvi. Kupika Mpaka Njaa Ikaribie Kuwaua: Mara nyingi...
  12. Gunner11

    Wadada wa instagram na Facebook.

    Ika pisi za kibongo bwana.. Unakuta kimeweka bio ya kumcha Mungu.. Una ki DM kina respond kwa kuchelewa makusudi kionekane kiko on demand. Then unakivumilia hivyo hivyo.. Basi nacho unaanza kuingia line, sasa ukiingiza maswala ya kupata mawasiliano na Whatsapp, Hapo ndo true colors...
  13. C

    Wadada wanaosema hawako katika mahusiano na mwanaume yeyote ni hatari kwani wanajiuza

    Kumekuwa na ongezeko la watoto wa kike ambao wanakataa kuingia kwenye mahusiano kwa visingizio kadhaa ikiwemo wana focus na uchaji Mungu huku wakisubiri mtu sahihi,ambaye kwao ni mwanaume mwenye utajiri. Hawa watu wanaishi kwa pesa za kudanga kwani watu wengi huwa wanajipata wakiwa tayari na...
  14. Financial Analyst

    Yote ni ubatili! Ujana ulinifanya niwe wa moto sana kwa wadada wenye makalio makubwa. Nilitumia pesa sana lakini nilipoteza muda ila niling'atuka

    Haya yote ni kutokana na kuathrika na kuangalia porno toka utotoni, nikajikuta kuwaona wadada wenye makebo makubwa ni viungo vya starehe na sio watu wa kawaida Niliwafanya kila namna, niliwageuza kila angle, huku nikiwa najipa moyo nitatosheka ila hakuna kitu , unacheza tu na mihemuko yako...
  15. PROFOUND NOTION

    Eti tumeshawasahau wadada wembamba. Sio vyema kuwadharau wadada wembamba. Akikupenda amekupenda kweli

    Wadada wenye makebo makubwa, wamepanda bei, wamepanda mashetani ya visirani na viburi, mnahangaika nao sana kwa ajili tu ya minyama yao. Mdada mwembamba hata ukimwambia sina pesa anakuambia wiki hii jitahidi unisaidie ila mwenye makebo makubwa anakuacha wiki hio hio. Lakini zaidi kwenye...
  16. Financial Analyst

    Katika kipindi chetu sisi wadada wenye makalio makubwa walichukuliwa kama watu wanene wa kawaida, eti Gen Z anabisha!

    Kweli nyakati zinakimbia, na muda huja na fasheni yake. Leo hii wadada wenye makalio makubwa ndio sukari ya mji ila kipindi kile walichukuliwa kama vibonge na hakuna aliekuwa sexually attracted kama ilivyo sasa secretarybird Chizi Maarifa nafikiri unakumbuka za zile
  17. Kazanazo

    Hawa wadada ambao ukiwatongoza tu wanakubali hapo hapo wanakuwa na sababu gani kati ya hizi?

    1. Wanakuwa na ugwadu wakati unawatongoza 2. Hawajatongozwa muda mrefu 3. Wanadaiwa kausha damu wanataka baada ya sex waombe hela 5. Wanaogopa kukupoteza Unaombwa mawazo yako huru ndugu mdau
  18. PROFOUND NOTION

    Kwa nini wadada wenye makebo makubwa huwadharau wenzao wembamba mbona sisi vidume wenye pesa huwa watu poa kwa wenzetu makapuku

    Mallerina aka kiuno nyigu, shepu ya zebra huwa ni kwanini lakini? Mbona tajir secretarybird ni mtu poa sana kwa apeche alolo wengi tuliomo JF?
  19. Jannatul Firdaus

    Wadada wenye roho nzuri mara nyingi ndiyo wanaoongoza kwa kuumizwa

    Kuna wadada ambao ukiwa nao karibu, utagundua wana moyo wa tofauti. Ni watu wanaojali, wanasaidia pale wanapoweza na huwa hawapendi kumuona mwingine akiteseka. Lakini cha kushangaza, mara nyingi watu kama hawa ndio hujikuta wakiumizwa zaidi. Anaweza kuwa rafiki anayekusimamia wakati wa...
Back
Top Bottom