Maisha hayaitaji uwe mkamilifu

Maisha hayaitaji uwe mkamilifu

“Maisha hayahitaji uwe mkamilifu, yanahitaji uwe mvumilivu.

Kila siku ni nafasi mpya ya kujifunza, kupambana na kusonga mbele.

Usikate tamaa kwa sababu tu mambo hayajaenda kama ulivyopanga. Wakati wako bado unakuja.” 💯🔥
Asante
 
Back
Top Bottom