Kwenye mapenzi

Kwenye mapenzi

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
62,230
Reaction score
180,316
Ukiachana na matapeli na mafisadi wa mahusiano, halafu kuna sisi tunapendwa kwa mapenzi ya dhati 😅😅 yaani tunazingua na pombe zetu ila ni ba mtu kwa mamsi wa ndoto zako😆.

Kabla ya kutaka kwenda mbinguni ebu jifahamu kwanza kama unajitambua bwashee 🤔
 
Screenshot_20260616-034432.png
 
Haya mwenetu!!
Hata wale waliopigana risasi, wengine kuchomana na gunia za mkaa nao pia walisema hivyo hivyo....

Moyo wa mtu ni kiza kinene!!
20250425_124430.jpg
 
Ngoja nilewe kwanza kisha niusome huu uzi tena,huenda nikauelewa,

Kuuelewa uzi uliokuja kwa hisani ya Bia,ni lazima ulewe kwanza ndio uuelewe.
 
Wewe hizo mbege za mama shirima Mwambie apunguze ingredients kidogo
 
Back
Top Bottom