Naona umejiandaa kubisha tu, kuna mtu kakwambia target ni zuchu ukabisha.Uongoo
Naona umejiandaa kubisha tu, kuna mtu kakwambia target ni zuchu ukabisha.Uongoo
Hakuna imani inayokosa watu wachoyo na watoajiMimi hao watu hata ukaribu nao huwa sitaki kabisa.
Wamekaa kiubaguzi na wachoyo sana
Mimi mwenyewe mbona kuna vijana wa kikristo kadhaa kipindi fulani niliwasaidia kwenye masuala ya kazi, lakini hakuna hata mmoja alie nishukuru, na hata simu zangu hawapokei sasa.Nimesema waislam sijasema uislam