Kwanini waislamu mko hivi??

Kwanini waislamu mko hivi??

Katika ukuaji wangu nimeishi na jamii mchanganyiko(Christian & Islam)...

Wapo Waislamu wachache wapumbavu, wao huamini asiye muislamu ni kafiri hata umfanyie nini...

Lakini wengi wa Waislamu hawana ubaguzi kabisa, wengi tulishirikiana nao, tunashirikiana nao na tutashirikiana nao...

Kwahiyo, kwa maoni yangu si vizuri kufanya generalization.
Uongoo
 
Attachments

  • Screenshot_20261124-160656.jpg
    Screenshot_20261124-160656.jpg
    147.1 KB · Views: 5
Ukweli mchungu ambao waislamu wengi hawawezi kuukubali ni kuwa muislamu humuona mtu asiyekuwa muislamu kama sio binadamu kamili na hata atalazimika kushirikiana nae kwenye majambo fulani basi ni ile kinafiki lakini moyoni mwake hapendi kabisa!!

Kama kuna maduka ya bidhaa anayohitaji hata kama lipo jirani na yeye lakini hatua kadhaa lipo la muislamu mwenzake atalifuata la muislamu mwenzake hata bei yako iko chini....ipo hivyo hata kwenye mambo mengine ya kila siku ya kimaisha.....

Waislamu wana amini ya kuwa imani yao ni mfumo kamili wa maisha ya mwanadamu unaojitosheleza kuendesha maisha ya jamii nzima na si vinginevyo.....hali hiyo inawafanya waione mifumo mingine ni ya kishetani na haipaswi kuwepo.....

Lakini waislamu wengi wao ni mahiri wa kuficha chuki, hasira na ubaguzi wa watu au imani zingine vifuani mpaka pale watakapoona wana uwezo wa kufanya mageuzi na kubadilisha mfumo...na hapo ndio unapoziona rangi halisi za uliokuwa ukiwaita majirani zako wema pindi wanapoungana na waislamu wenzao
 
JAmani nimefanya uchunguzi, waislam asilimia kubwa hawana shukrani .
Unaweza msaidia akapata hitaji lake ila kumwonyeshea mtu fadhila ya wema na kushukuru kwake hakunaga .

UShahidi
Nilimsaidia rafiki yangu mengi tu ikiwemo kwenye harusi yake nilimpa zawadi kubwa , nilipika nakuhakikisha shughuli yake imeenda sawa .
Yeye sasa hajaja kwenye shughuli ya mtoto wala kutoa udhuru na hana shida yeyote .

Huyo mtoto alikuwa wa ndugu yangu ila hata samahani hakuna alieendelea na maisha yake ya ndoa na ajua .

sio yeye tu kwenye shida zao nipo zote ila wao hata msiba wa baba yangu mzazi hawakuhudhuria .
Inauma sana.
Ila marafiki zangu wakristo walikuja wote kwenye kila jambo zuri na baya wao wala hala fu hawana raha wakisikia unajambo la heri.

Ushahidi mwingine hai nandi tokea baby shower ya zuchu hadi 40 ya mtoto wa zuchu,nandi alijitoa ila sasa zuchu yeye hajajisumbua kwenda popote sio harusi ya nandi baby shower , 40 ya naya na chochote chao yeye hayupo.
Yeye nikumsema nandi vibaya .
Kushindana naye nakumuonyeshea yeye ni mpinzani wake .
Hivi kwanini mpogi hivi??

Shukurani kwenu ni ngumu na kujitoa kwa wenzenu??
Hii imekaaje??
Ok, tunashukuru kwa research yako ya ngumbaru. Hizi dini zitawatia uchizi!
 
pole kwa yaliyokukuta, lakini si sahihi kuchukua tabia za watu wachache na kuzihukumu dini nzima. Uislamu unasisitiza sana shukrani, wema na kulipa wema kwa wema. Mtume ﷺ amesema: «مَنْ لَا يَشْكُرُ النَّاسَ لَا يَشْكُرُ اللَّهَ» — Asiyewashukuru watu hamshukuru Allah. (Tirmidhiy).
Kwa hiyo, kama Waislamu uliokutana nao hawana shukrani, wamekosea mafundisho ya dini yao, si kwamba Uislamu unawafundisha hivyo. Na kumbuka, wapo watu wasio na shukrani katika kila dini. Tuhukumu matendo ya mtu, si dini yake.
 
JAmani nimefanya uchunguzi, waislam asilimia kubwa hawana shukrani .
Unaweza msaidia akapata hitaji lake ila kumwonyeshea mtu fadhila ya wema na kushukuru kwake hakunaga .

UShahidi
Nilimsaidia rafiki yangu mengi tu ikiwemo kwenye harusi yake nilimpa zawadi kubwa , nilipika nakuhakikisha shughuli yake imeenda sawa .
Yeye sasa hajaja kwenye shughuli ya mtoto wala kutoa udhuru na hana shida yeyote .

Huyo mtoto alikuwa wa ndugu yangu ila hata samahani hakuna alieendelea na maisha yake ya ndoa na ajua .

sio yeye tu kwenye shida zao nipo zote ila wao hata msiba wa baba yangu mzazi hawakuhudhuria .
Inauma sana.
Ila marafiki zangu wakristo walikuja wote kwenye kila jambo zuri na baya wao wala hala fu hawana raha wakisikia unajambo la heri.

Ushahidi mwingine hai nandi tokea baby shower ya zuchu hadi 40 ya mtoto wa zuchu,nandi alijitoa ila sasa zuchu yeye hajajisumbua kwenda popote sio harusi ya nandi baby shower , 40 ya naya na chochote chao yeye hayupo.
Yeye nikumsema nandi vibaya .
Kushindana naye nakumuonyeshea yeye ni mpinzani wake .
Hivi kwanini mpogi hivi??

Shukurani kwenu ni ngumu na kujitoa kwa wenzenu??
Hii imekaaje??
Ungelukuja na data nyingi hivi tungekuelewa

Lkn ilikuwaje nawe ukafanya hivyo

Unapotendea mru usingoje shukrani wewe tembea

Atakuja mwingine atakayekushika mkono
 
JAmani nimefanya uchunguzi, waislam asilimia kubwa hawana shukrani .
Unaweza msaidia akapata hitaji lake ila kumwonyeshea mtu fadhila ya wema na kushukuru kwake hakunaga .

UShahidi
Nilimsaidia rafiki yangu mengi tu ikiwemo kwenye harusi yake nilimpa zawadi kubwa , nilipika nakuhakikisha shughuli yake imeenda sawa .
Yeye sasa hajaja kwenye shughuli ya mtoto wala kutoa udhuru na hana shida yeyote .

Huyo mtoto alikuwa wa ndugu yangu ila hata samahani hakuna alieendelea na maisha yake ya ndoa na ajua .

sio yeye tu kwenye shida zao nipo zote ila wao hata msiba wa baba yangu mzazi hawakuhudhuria .
Inauma sana.
Ila marafiki zangu wakristo walikuja wote kwenye kila jambo zuri na baya wao wala hala fu hawana raha wakisikia unajambo la heri.

Ushahidi mwingine hai nandi tokea baby shower ya zuchu hadi 40 ya mtoto wa zuchu,nandi alijitoa ila sasa zuchu yeye hajajisumbua kwenda popote sio harusi ya nandi baby shower , 40 ya naya na chochote chao yeye hayupo.
Yeye nikumsema nandi vibaya .
Kushindana naye nakumuonyeshea yeye ni mpinzani wake .
Hivi kwanini mpogi hivi??

Shukurani kwenu ni ngumu na kujitoa kwa wenzenu??
Hii imekaaje??
ile ni suna
 
Madam,
plz,
Tenda wema, nenda zako, usisubiri shukurani.

embu msikilize Rose Muhando ana injilisha nini kuhusu kutenda wema kwako na kwa wengine kupitia wimbo huu na itapendeza zaidi. Sikiliza mpaka mwisho tafadhali itakusaidia sana :NoGodNo:
 
Attachments

JAmani nimefanya uchunguzi, waislam asilimia kubwa hawana shukrani .
Unaweza msaidia akapata hitaji lake ila kumwonyeshea mtu fadhila ya wema na kushukuru kwake hakunaga .

UShahidi
Nilimsaidia rafiki yangu mengi tu ikiwemo kwenye harusi yake nilimpa zawadi kubwa , nilipika nakuhakikisha shughuli yake imeenda sawa .
Yeye sasa hajaja kwenye shughuli ya mtoto wala kutoa udhuru na hana shida yeyote .

Huyo mtoto alikuwa wa ndugu yangu ila hata samahani hakuna alieendelea na maisha yake ya ndoa na ajua .

sio yeye tu kwenye shida zao nipo zote ila wao hata msiba wa baba yangu mzazi hawakuhudhuria .
Inauma sana.
Ila marafiki zangu wakristo walikuja wote kwenye kila jambo zuri na baya wao wala hala fu hawana raha wakisikia unajambo la heri.

Ushahidi mwingine hai nandi tokea baby shower ya zuchu hadi 40 ya mtoto wa zuchu,nandi alijitoa ila sasa zuchu yeye hajajisumbua kwenda popote sio harusi ya nandi baby shower , 40 ya naya na chochote chao yeye hayupo.
Yeye nikumsema nandi vibaya .
Kushindana naye nakumuonyeshea yeye ni mpinzani wake .
Hivi kwanini mpogi hivi??

Shukurani kwenu ni ngumu na kujitoa kwa wenzenu??
Hii imekaaje??
Kwahiyo hao wawili ndio benchmark ya waislam wote?
Umetisha sana mtoa mada, siku nyingine tenda wema sepa usisubiri shukrani.
 
Back
Top Bottom