M mwakani naolewa Senior Member Joined Jul 25, 2024 Posts 148 Reaction score 428 Aug 2, 2024 #1 Simba SC yamtangaza kipa wake mpya ambaye ni Moussa Camara akitoka Guinea katika clabu ya AC Horoya kipa huyo atakua anaidakia timu ya Simba SC kwanzia sasa.
Simba SC yamtangaza kipa wake mpya ambaye ni Moussa Camara akitoka Guinea katika clabu ya AC Horoya kipa huyo atakua anaidakia timu ya Simba SC kwanzia sasa.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,915 Reaction score 39,982 Aug 2, 2024 #2 Mbumbumbu wanahaha
C Code 255 JF-Expert Member Joined Jul 6, 2024 Posts 904 Reaction score 3,589 Aug 2, 2024 #3 Kwa mpira wa bongo...nashauri anywe maji kwanza
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,235 Reaction score 15,659 Aug 2, 2024 #4 Nafasi 12 bado tu hazijatimia! KUtakuwa makipa wangapi?..na Au Manula ashapewa mkono wa khery?..