Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,746
- 48,996
Ambaye sio wewe?Kisicho kuwepo popote pale.
Yeyote yule.
Ambaye sio wewe?Kisicho kuwepo popote pale.
Yeyote yule.
Mimi nimeshakwambia, Shetani hayupo.Ambaye sio wewe?
Watu mnachekesha unataka kusema hata Yesu hajawahi kuwepo duniani? Kama ni hivyo na wewe hujawahi kuwepo na ni mfuUlikuwepo
Kama uthibitisho wa madai yako ya hakuna shetani unategemea anayesema yupo kushindwa kuthibitisha, Je anayesema kuna shetani akisema wewe hupendelei kuvaa magauni halafu akashindwa kuthibitisha? Utaaply same theory?Mimi nimeshakwambia, Shetani hayupo.
Kama uzi unavyosema.
Madai si yangu.Kama uthibitisho wa madai yako ya hakuna shetani unategemea anayesema yupo kushindwa kuthibitisha, Je anayesema kuna shetani akisema wewe hupendelei kuvaa magauni halafu akashindwa kuthibitisha? Utaaply same theory?
Unakataa kuwa hujasema hakuna shetani?Madai si yangu.
Ni yao.
Wao ndio wameshindwa kuthibitisha madai yao ya kwamba Shetani yupo.
Hivyo hayupo.
Hakuna shetani.Unakataa kuwa hujasema hakuna shetani?
Nakuuliza tena, Hakuna Shetani au hakuna uthibitisho kuwa shetani yupo?
Tumia same theory kwenye maneno haya ambayo hayana ushahidi na hayana uthibitisho.Hakuna shetani.
Magauni yapo na yanathibitishika yapo.Tumia same theory kwenye maneno haya ambayo hayana ushahidi na hayana uthibitisho.
"wewe hupendelei kuvaa magauni."
Acha siasa, Hoja si uwepo wa magauni.Magauni yapo na yanathibitishika yapo.
Shetani hayupo na hathibitishiki yupo.
Wewe ndio unaleta siasa.Acha siasa, Hoja si uwepo wa magauni.
Hoja ni wewe kutopendelea kuvaa magauni ila Hakuna ushahidi wala uthibitisho wa hiyo hoja.
Pinga hoja kwa theory ile ile ya uwepo usiothibitika hata usipomtumia shetani.
Hoja yangu kwako haijajikita kwa shetani, imejikita kwenye theory yako kuwa anayesema jambo lipo akishindwa kuthibitisha hilo jambo halipo.Wewe ndio unaleta siasa.
Mada inahusu Shetani, wewe unaleta habari za magauni.
 
Mada ni Shetani na nimeshakwambia hayupo.
Utasemaje jambo lipo halafu huna uthibitisho nalo?Hoja yangu kwako haijajikita kwa shetani, imejikita kwenye theory yako kuwa anayesema jambo lipo akishindwa kuthibitisha hilo jambo halipo.
Ndo maana nikakuuliza, unasema hakuna shetani kwa sababu wanaosema yupo wameshindwa kuthibitisha? Kama ndivyo then huwezi pingana na same concept mtu akisema hupendelei kuvaa magauni bila uthibitisho. Itabidi umpinge sababu hana ushahidi.
Utasemaje jambo lipo halafu huna uthibitisho nalo?
Jambo likiwepo au likisemwa lipo ina maana linathibitishika lipo.
Jambo haliwezi kuwepo na lisiwepo at the same time.
Ulijuaje kwamba sipendelei?Wewe hupendelei kuvaa magauni ila sina ushahidi wala uthibitisho. Then?
Najua tu. Sina ushahidi, siwezi thibitisha ila najua tu.Ulijuaje kwamba sipendelei?
Ni papa yupi huyo mkuu?Papa kaona shetan bana ,ila wanajamii forums tuongee ukwel bila ww kujal Imani na dini yako,tukubaliane Hz din kwanza zipo kulinda mafisad wazid kupiga hela kwenye mifumo lkn pia ukizama kwenye dini na iman za shirik unakuwa kichaa au na matatizo ya akil pasipo ww kujua,😂😂,matatizo yote dunian hayaletwi na shetan na Wala Mungu hyupo kukusaidia kimijuiza,Kila ktu kimewekwa na Muumbaji n jukumu letu sisi wanadam kuishi Kwa haki na upendo tufurahie maisha ya hapa dunian,kuamin dini na ushiriki vitafanya maisha yetu ya we magumu sana,tunaamin kwenye imagination na hallucinations,huku tukizid kutawaliwa na mafisadi.