Kioja papa kaona shetan😂,

Kioja papa kaona shetan😂,

Hahah na ww n kichaa wa dini,ww ulimuona Yesu lin? Papa n mfuas ya Yesu Tena ,😂😂😂😂😂kwanza tuanzie who is Jesus na ushamuona huyo Jesus au unaamin kwenye Hadith😂😂😂😂
Kwani wewe ushawahi Muona Hitler ? au Ushawahi muona Idd Amin wa Uganda.. Au unaamini Hadithi ?

Kama Hujawahi waona Hao Na Unaamini ulichoambiwa kuhusu wao..Nikikuambia Kuhusu Yesu Utaamini sasa?

Yes papa ni Mfuasi wa Yesu kwani Unaona Anahubiri nini..
 
Hakuna uthibitisho wa ambacho hakijathibitishwa.

Kuna uthibitisho wa kilicho thibitishwa.
Pia hakuna uthibitisho kwa kushindwa kuthibitisha.

Huwezi sema nimethibitisha raisi Samia hayupo Ikulu sababu aliyesema yupo ikulu hajathibitisha.
 
Kwani wewe ushawahi Muona Hitler ? au Ushawahi muona Idd Amin wa Uganda.. Au unaamini Hadithi ?

Kama Hujawahi waona Hao Na Unaamini Nikikuambia Kuhusu Yesu Utaamini sasa?

Ttzo hujasoma post na kuielewa
 
Ttzo hujasoma post na kuielewa
Ndio nishawahi Muona Kwa Macho yangu ya Nyama ndio.. ila Ninamuona pia kwa Matendo yake Kwangu na Baraka zake kwangu..

Sasa Wewe unataka uthibitisho huu hapa.. Alituachia Hadi sura yake kabisa.. Kama Una Kingine Sema
 

Attachments

  • IMG_7134cac9-927c-4e7d-b732-6e2481e8b624.jpg
    IMG_7134cac9-927c-4e7d-b732-6e2481e8b624.jpg
    84.3 KB · Views: 2
Ww

unachekesha kwel😂😂Nan ambaye ana dini ,ww una dini unaimiliki? Watu tumezikuta na tumelelewa ndo maana shv tunakuwa waumini,hata mm Nina din niliyolelewa lkn siwez sema nina dini ,unajua dini ww ,wachekesha🤣🤣🤣🤣
Hizi ni shtuma zako ,naona unajiongelesha
.
 
Ndio nishawahi Muona Kwa Macho yangu ya Nyama ndio.. ila Ninamuona pia kwa Matendo yake Kwangu na Baraka zake kwangu..

Sasa Wewe unataka uthibitisho huu hapa.. Alituachia Hadi sura yake kabisa.. Kama Una Kingine Sema
😂😂😂😂😂🤣 Ulimuona wP bos tupw hyo story very interesting kuliko ya pope
 
😂😂😂😂😂🤣 Ulimuona wP bos tupw hyo story very interesting kuliko ya pope
Si Nimekutumia Uthibitisho Hapo.. Na Sura yake Hiyo hapo sasa Unaniulizaje tena Nilimuona Wapi!!!
 

Attachments

  • IMG_7134cac9-927c-4e7d-b732-6e2481e8b624.jpg
    IMG_7134cac9-927c-4e7d-b732-6e2481e8b624.jpg
    84.3 KB · Views: 2
Iltumika camera gn🤣
Wewe si mchunguzi ila Ni Mbishi.. Na Unajipotosha Wewe mwenyewe....

Siyo Camera 📸 wala siyo Mtu aliyepiga Ila Hakuna Anayejua Hadi leo hii Picha Ilipigwaje. ila Ni Alama na Picha aliyoiacha Kaburini Alipofufuka .. Hakuna Mwanasayansi Aliyeweza Gundua Ilikuwaje Kuwaje Mpaka Picha Ikaachwa Hivyo

Kwetu Ni Muujiza ila Kwako Wewe ni Kama Kejeli
 
Tutahakikisha vipi kitu kipo ikiwa uthibitisho haupo?
Kisichotakiwa ni kutumia kukosekana kwa uthibitisho kuthibitisha madai yako.

Madai yako ni hakuna shetani au hakuna ushahidi kuwa shetani yupo?
 
Papa kaona shetan bana ,ila wanajamii forums tuongee ukwel bila ww kujal Imani na dini yako,tukubaliane Hz din kwanza zipo kulinda mafisad wazid kupiga hela kwenye mifumo lkn pia ukizama kwenye dini na iman za shirik unakuwa kichaa au na matatizo ya akil pasipo ww kujua,😂😂,matatizo yote dunian hayaletwi na shetan na Wala Mungu hyupo kukusaidia kimijuiza,Kila ktu kimewekwa na Muumbaji n jukumu letu sisi wanadam kuishi Kwa haki na upendo tufurahie maisha ya hapa dunian,kuamin dini na ushiriki vitafanya maisha yetu ya we magumu sana,tunaamin kwenye imagination na hallucinations,huku tukizid kutawaliwa na mafisadi.
Wewe ulipendelea aote nini?Naona tumeanza hadi kupangiana namna ya kuota ndoto!
 
Wewe ulipendelea aote nini?Naona tumeanza hadi kupangiana namna ya kuota ndoto!
Kuota uliona manyau nyau na sura isyoeleweka km imevaa mask kumbe ndo shetani? Na hajaota yeye kaona live mzee baba ,kudadekkkk dini🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
 
Kwa mujibu wa nani? Yeye kasema alikutana na shetani wewe unasema jini? Kwa nini unataka awe jini badala ya shetani?
Jini +shetan=mtu aliyevaa manyau nyau,,😂😂😂😂😂
 
Kuota uliona manyau nyau na sura isyoeleweka km imevaa mask kumbe ndo shetani? Na hajaota yeye kaona live mzee baba ,kudadekkkk dini🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Wewe ulikuwa naye wakati anaota?
 
Kisichotakiwa ni kutumia kukosekana kwa uthibitisho kuthibitisha madai yako.
Tutahakikisha vipi kitu hakipo kwa sababu ni kweli hakipo, Au kipo ila tu umekosekana uthibitisho wa kuthibitisha kipo?
Madai yako ni hakuna shetani au hakuna ushahidi kuwa shetani yupo?
Madai si yangu.

Madai ni ya walioanza kudai "Shetani yupo" na hawana uthibitisho wa madai yao.

Mimi nakanusha madai yao kwa kupinga huyo Shetani anayedaiwa yupo.

Madai ni "Shetani yupo"

Madai haya ni ya uongo, kwa sababu hayana uthibitisho.

Na Shetani huyo anayedaiwa yupo, hayupo.
 
Back
Top Bottom