Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,373
- 1,008
Tumajengo tunahesabika
Miaka hii sio ya kuingia taa za barabarani.
Miaka hii sio ya kuingia taa za barabarani.
Lingishiq vitu vya maana kama hivi 👇
View: https://www.instagram.com/reel/DfP722bxP2p/?exln=MWdqaXJiM2d6N2l1bA==View attachment 3704203
Kajengo kamoja ka Msaada(Mali ya umma?) ndio unalingishia kweli?GEDECO Tower under construction GEITA View attachment 3707097View attachment 3707098
Hakuna cha ziada zaidi ya hivi vijengo viwili? Halafu vya kizamani sana 😂🤗Kajengo kamoja ka Msaada(Mali ya umma?) ndio unalingishia kweli?
Njombe View attachment 3707101View attachment 3707102
Kwenu vipo?Hakuna cha ziada zaidi ya hivi vijengo viwili? Halafu vya kizamani sana 😂🤗
Indeed...Shinyanga ina kaupendeleo tu kisa iko barabara kuu, ila kwa speed ya sasa ya Kahama inapitwa mengi.
.
Njombe haipafikii Kahama japo inawekewa kauzibe sana.
Niliandika hayo 2019 nikiwa na miaka 18 😅😅😅Indeed...