njombe

  1. A

    KERO Watumishi wa Afya Njombe DC tunahamishwa bila kupewa stahiki zetu

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayotukabili watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, ambapo DMO na Katibu wa Halmashauri wanafanya uhamisho wa watumishi mara kwa mara bila kuwalipa stahiki zinazotokana na uhamisho huo. Kwa mfano, mtumishi mwenye...
  2. M

    Bei mpya za mbao aina ya pines mkoa wa Njombe

    BEI MPYA ZA MBAO AINA YA PINES MKOA WA NJOMBE 2*4: 4,500/= 2*6: 6,000/= 2*2: 1,500/= 1*4: 1,500/= 2*3: 3,000/= 1*6: 3,000/= 1*8: 5,000/= 1*10: 10,000/= MAWASILIANO 0748874928 (PIGA/SMS/WHATSAPP)
  3. A

    KERO Watumishi Halmashauri ya mji Njombe tunacheleweshewa kushughulikiwa madai yetu na Maafisa Utumishi kwa makusudi

    Baadhi ya Watumishi tunaomba kufanyiwa Re-Cotegorization tangu mwezi Machi mpaka sasa hakuna mabadiliko yoyote, na tukijaribu kufuatilia unakuta barua zimenasa masijala tu. Hali hii inashusha morali sababu watumishi Halmashauri nyinginezo ambao wana madai sawa na yetu ni tayari...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Njombe: Harusi yaahirishwa sababu mwanaume hana Nida

    Kijana Abelnego Mgaya, mkazi wa Mlevela Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe, mkoani Njombe, amejikuta katika wakati mgumu baada ya harusi yake kuahirishwa kufuatia kushindwa kukamilisha usajili wa ndoa kwenye mfumo kwa sababu hana Kadi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA). Mgaya amesema awali...
  5. M

    Ni kwanini Njombe hakuna wahindi na waarabu kama mikoa mingine na je, Tetesi hizi zina ukweli ?

    Sijajua kwa sikuhizi lakini Njombe kwa muda mrefu imekuwa ikizungumziwa kwa utofauti wake wa kutokuwa na waarabu na wahindi Kuna video niliiona jana mtandaoni kuwa waliwahi kuwepo ila walifukuzwa na wa mwisho aliebaki alichinjwa, hivyo wakaambiana huo mji sio salama tena. Kuna ukweli ?
  6. Blessed Agent

    KERO Matumizi holela ya Vilipuzi vya kupasua Mawe eneo la Wikichi, Njombe

    Habari JF, Kuna kero kubwa katika Mtaa wa Wikichi, Halmashauri ya Mji wa Njombe, inayosababishwa na wachimbaji na wapasuaji wa miamba ya mawe kwa ajili ya ujenzi. Wachimbaji hao wanatumia vilipuzi kama baruti vinavyosababisha milipuko mikubwa na mitetemo inayofanana na milipuko ya mabomu...
  7. M

    Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

    Damas Mgaya (38), mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amefariki dunia baada ya kukutwa amejinyonga ndani ya chumba chake kwa kutumia kamba ya kiatu, kufuatia madai ya mgogoro wa kifamilia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, ACP Mahamoud Banga, amethibitisha kutokea kwa...
  8. A

    KERO Wakazi wa Wikichi, Njombe, tunalalamikia milipuko ya baruti karibu na makazi

    Habari JF, Kuna kero kubwa katika Mtaa wa Wikichi, Halmashauri ya Mji wa Njombe, inayosababishwa na wachimbaji na wapasuaji wa miamba ya mawe kwa ajili ya ujenzi. Wachimbaji hao wanatumia vilipuzi kama baruti vinavyosababisha milipuko mikubwa na mitetemo inayofanana na milipuko ya mabomu...
  9. Manyanza

    Video: Trafiki akimpiga dereva wa roli mkoani wa Njombe

    https://youtube.com/shorts/ltHDZmCjLsI?si=fb1wNcmbPrZF7YsR
  10. Wizara ya Ardhi

    Wananchi wa Njombe wapata hati miliki kupitia ardhi kliniki

    Wananchi wa Mkoani Njombe wamepata hati miliki za makazi kupitia Ardhi Kliniki, kwa kutumia mfumo wa kidigitali wa e-Ardhi ambapo zoezi hilo limefanyika Mtaa wa Idundilanga kwa ushirikiano wa Ofisi ya Ardhi Njombe, na Halmashauri ya Mji Njombe ikiwa na lengo la kuhakikisha wananchi wanapata...
  11. Wizara ya Ardhi

    Matokeo ya matumizi ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Njombe yanaendelea kuonekana

    Matokeo ya matumizi ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Njombe yanaendelea kuonekana, ambapo wananchi wanapata huduma za ardhi ikiwemo hati miliki kwa haraka, urahisi na ufanisi kupitia mfumo huo. Mafunzo na uhamasishaji wa matumizi ya e-Ardhi yaliyodumu kwa wiki moja yamefikia tamati leo, Septemba 21...
  12. Wizara ya Ardhi

    Wataalamu wa sekta ya ardhi mkoa wa Njombe wameendelea na kazi kwa kutumia mfumo wa kidigiti wa e-Ardhi

    Wataalamu wa sekta ya ardhi mkoa wa Njombe wameendelea na kazi kwa kutumia mfumo wa kidigiti wa e-Ardhi mara baada ya kupatiwa mafunzo ya matumizi ya mfumo huo. Katika siku mbili za matumizi ya mfumo huo wa kidigiti jumla ya viwanja 87 vimepandishwa na kuidhinishwa tayari kwa kuandaliwa hati...
  13. E

    Njombe: Watoto 4 kati ya 10 hawafikii kiwango cha chini cha kusoma

    Makete. Takribani watoto wanne kati ya 10 wenye umri wa miaka 10 hadi 14 mkoani Njombe hawajafikia kiwango cha chini cha umahiri katika kusoma, huku watatu kati ya 10 wakikabiliwa na changamoto katika kuhesabu. Takwimu hizo zimeelezwa wakati wa kufungwa kwa mafunzo ya walimu na wawezeshaji wa...
  14. Nyendo

    Ukungu wawa tishio Njombe, TMA wawaonya madereva

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya mawingu na ukungu unaoambatana na manyunyu katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Njombe.Imesema hali hiyo imepunguza uono na kusababisha baadhi ya madereva kuwasha taa za magari ili kuona mbele. Akizungumza na Mwananchi Digital...
  15. Wizara ya Ardhi

    e-Ardhi kurahisisha huduma za Ardhi Njombe

    NJOMBE Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi unatarajiwa kuwa suluhisho la changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi katika upatikanaji huduma za ardhi, ikiwemo foleni, gharama na usumbufu wa kufuata huduma hizo katika ofisi za ardhi. Hayo yameelezwa na wataalamu wa ardhi mkoani Njombe waliopewa...
  16. online GOVT applications

    NJOMBE: Amuua mumewe kwa kumpiga na chuma kichwani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Betrice Kalawa (45), mkazi wa Kijiji cha Malangali wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe kwa tuhuma za kumuua mume wake, Peter Mbunduzi (55) kwa kumpiga na chuma kichwani. Hayo yameelezwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa...
  17. A

    KERO Maafisa Utumishi na Ofisi ya Masijala wa Halmashauri ya Mji Njombe waache kufanya kazi kwa mazoea

    Naomba kutoa changamoto kwa Maafisa Utumishi na Ofisi ya Masijala kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuhakikisha stahiki za watumishi zinashughulikiwa kwa wakati na kwa ufanisi. Mimi ni miongoni mwa watumishi wapya ambao hatujaridhishwa na majibu tunayopata kutoka kwa baadhi ya Maafisa Utumishi...
  18. A

    KERO Halmashauri ya Makambako izibue mitaro ya maji machafu kabla mvua hazijaanza

    Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe, hamuoni kuna haja ya kuzibua mitaro ya maji kabla ya kipindi cha mvua hakijafika? Huu ni mwaka wa pili sasa mfereji huu ukiwa umeziba bila kufanyiwa usafi/uzibuliwaji. Mfereji huu upo Mtaa wa Mjimwema, eneo la njia panda ya barabara inayoelekea...
  19. Frank Wanjiru

    Njombe: Edina amekutwa amefariki chumbani baada ya kupaliwa na chakula

    Edina Chaula (23), mkazi wa Mtaa wa Kihesa, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amekutwa amefariki dunia ndani ya chumba chake baada ya kudaiwa kukosa hewa kutokana na kupaliwa na chakula. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi Mahamoud Banga, amesema tukio hilo liligundulika Agosti 23...
  20. Traxtion

    Njombe man-eaters: Simba waliokula zaidi ya watu 1500 Kusini mwa Tanganyika 1932-1947

    Je umewahi kusikia historia kuhusu Njombe man-eaters? Neno "man-eaters" limetoka kwa Kiingereza na maana yake kuu ni wanyama wala watu, yaani mnyama ambaye amejifunza au kuzoea kuwinda na kula binadamu kama chakula chake. Moja ya visa vikubwa duniani vya wanyama kula watu ni kisa cha Man eaters...
Back
Top Bottom