JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Niambie matatizo yako yote niweze kuyatatua😝
Matatizo yote??
22214.jpg
 
Mkuu unakua kinyume na nature ya kua in pair as human
sidhani kama nature imetuweka kuwa in pairs sababu kama ni hivyo basi tungekuwa na schronized mind lakini kila mtu ana mind yako hivyo sisi ni individual being na pairs ni more social needs
 
Mimi bado aijqlipwa nikimaliza shift mwezi wnagu huu ndio bqsi tena😎
Usiache kazi kabla hujapata kazi
Hivi ongezeko la joto sasa ni matokeo ya ongezeko ya maaswi sana katika jamii kama wazee wasemavyo au ni mabadiliko ya tabia ya nchi tu
 
Back
Top Bottom