JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kuhusiana na mkutano mkubwa wa mazingira​


TANZANIA INAVIPAUMBELE VIFUATAVYO

1. Kuwe na taka sifuri​

2. Vijana na elimu
3. Daraja la utekelezaji wa tabia nchi
4. Uvijani wa viwanda
5. Mageuzi ya nishati safi
 

Maisha haya,nipo hapa namcheki class mate wangu kwenye television akizungumzia mambo ya mazingira​


From jitegemee high school 2000,now is a doctor

Big up doctor Fadhili Bwagalile
 

Big boss wa uzi wa Usiku wa manane nasema hivi;​

Huu uzi kwa heshima kubwa uliyonayo na kwa ukubwa wake hapa jf

Utakuwa hewani 24hrs, walinzi wa mchana watakuwepo kwa kiasi kikubwa wakiongozwa na mimi mwenyewe
 

Vijana wa Rwanda watumia nyuzi nyuzi za migomba kutengeneza nguo, damn dunia inaenda kasi sana​

 
Back
Top Bottom