JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

kwa kweli sisi zetu ni dua tu. ilisikika sauti ya bwana mmoja aliekua amevaa msuri na barakashia
 
Tanesco wamekata umeme na hili joto hata sielewi usingizi hamna ni kupunga mbu tu
Habari Saimony, pole kwa changamoto hiyo. Tafadhali tufahamishe eneo ulipo ikiwemo mkoa, wilaya, kata ,mtaa / kijiji pamoja na namba yako ya simu kwa msaada zaidi. ^NI
 
Back
Top Bottom