BIOTOXINS
JF-Expert Member
- May 29, 2026
- 1,780
- 3,764
Ngoja nianze mazoezi then niombe mechi ya kirafikiDuuh, kumbe kuna kupepea mashine tena 😅
Hebu jitahidi ukae sawa, hayo ni mambo ya aibu!
Ngoja nianze mazoezi then niombe mechi ya kirafikiDuuh, kumbe kuna kupepea mashine tena 😅
Hebu jitahidi ukae sawa, hayo ni mambo ya aibu!
Sana. Zinaingiza wengi chaka.Ukisoma hizi nyuzi utasema ndani ya ndoa ni kama Peponi vile.
Nipo karibu na kispika cha sumu ya panya subiri nikae upande
so is that a yes or 😎We si mdogo wangu kabisa imekuaje tena 🤣🙌🏼
si ndio maana Binti wa zamani ka suggest mtu wa kunituliza 😎Huyo dogo atuliee 🤣
Dogo tulia njoo kwenye uzi kule jamii intelligence tumalizeso is that a yes or 😎
😅, haya bwana kuna uzi mwingine mzuri ngoja nikutagDogo tulia njoo kwenye uzi kule jamii intelligence tumalize
Sawa ni tag😅, haya bwana kuna uzi mwingine mzuri ngoja nikutag
SAsa hapo si nakua nacheza na maishaKatika hayo matapeli chambua tapeli unayeweza kuvumilia utapeli wake weka ndani mambo mengine yaendelee
NI inshu ya practical zaid si ya kuelezanaHiyo el nino ya upepo ndiyo ikoje? hebu nielekeze nikiipenda nitamuita aje asome maelezo yako halafu anifanyie baadaye.
Haukosei, binti achangamke asije kujuta baadaye!
Yoyote tu anaweza kuwa tapeli, mjitahidi kupeana muda kufahamiana na kuona kama unaridhishwa na tabia za mwenzako.Wanawake wanasema wanaume matapeli WA mapenzi na wanawake nao wanaume matapeli.Tapeli ni nan na ukweli ni upi 🤔🤔🤔
Safi sana dada WA TaifaYoyote tu anaweza kuwa tapeli, mjitahidi kupeana muda kufahamiana na kuona kama unaridhishwa na tabia za mwenzako.
Aaaanh wapi, akianza kuleta kesi inamaanisha ameshindwa majukumu yakle ya kukuridhisha.Utaletewa kesi na shemeji yako akisema namfuja 😅🤣 trust me
We umeamua tu kutunyima uhondo wa simulizi ya jinsi unavyoamshwaga 😅Sina hakika 😊
Upooooooo
Jitahidi na wewe ufanye jambo la raha weekend hii, usitoke kapa mkuu!Muhamasishaji ngono wa taifa,
Kazi yako unaitendea haki.
Mkoment hapa hapa tutawapa pole zenu!Tulio weweseka usiku na kuamka tumechafua boxer tukoment wapi?
Fanya hivyo, na ukiomba mechi jitahidi wifi yangu afike kiboNgoja nianze mazoezi then niombe mechi ya kirafiki
