Ibadah (Arabic: عبادة, ‘ibādah, also spelled ibada) is an Arabic word meaning service or servitude. In Islam, ibadah is usually translated as "worship", and ibadat—the plural form of ibadah—refers to Islamic jurisprudence (fiqh) of Muslim religious rituals.
Tuambizane, siku hizi za weekend wewe unapenda kuamshwaje na mwenza au mpenzi wako?
Leo nafungua macho nasikia sauti ya adhana na mipapaso ya ba mjengo, nikamtizama huku napata shida kufungua macho, ila yeye namuona sura kavu kama alishaamka muda mrefu. Mara akashuka kitandani, nikajua anaenda...
Hii imekaaje?
Hivi kuna watu wanaongoza kwa kuomba na kusali kama watu kutoka Afrika kweli?
Nyumba za ibada kila baada ya mita kadhaa, nadhani bara hili hata kwenye wingi wa nyumba za ibada tunaongoza duniani, huko mitaani makanisa na misikiti vimesongamana mno, nimeona nyumba za ibada...
Simulizi ya Emmanuel Eni (ambaye mara nyingi hujulikana kama Mchungaji Emmanuel Eni) ni moja kati ya ushuhuda maarufu na wenye mjadala mkubwa sana barani Afrika kuhusu mambo ya uchawi, nguvu za giza, na wokovu wa Kikristo.
Aliweka wazi mkasa wa maisha yake kupitia kitabu chake kilichopata...
Amani iwe nanyi.
Shehe Mwaipopo anaye kiongozi aliyemtuma kuanzisha ufugaji wa mbwa mwitu.
Na kauli zake ni za wazi kabisa, anatamani nchi iwe Islamic state,kwamba utasilimu Kwa kupenda na usipotaka utalazimishwa au uuwawe
Na ukiunga dots Kwa mamlaka kumpa support aseme ayasemayo, aminini ni...
Sote ni mashahidi,
kwamba licha ya kuhamasishwa sana kuhudhuria ibada ya kinafiki na miongoni mwa madhehebu ya dini ambayo yanasemekana kua miongoni mwa wachochezi wakuu wa ghasia, uharibifu na maafa ya October 2025,
Wananchi na waTanzania wote walipuuza wito huo na wakaendelea kutimiza...
Leo zimefanyika Misa na ibada Tanzania nzima kwa ajili ya kuwakumbuka wahanga wa matukio ya October 29,2025.
Kwa mtu mwenye akili timamu, kilichofanyika leo ni jambo kubwa na la thamani mno. Lakini mjinga anaweza asielewe hivyo, anaweza kupuuza tu.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 14, 2026 ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbulizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania (Mamajusi Watatu) Jimbo Katoliki Sumbawanga, Rukwa
Katika Ibada hiyo, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
Mchungaji na viongozi wengine wawili wa kanisa la St Abraham Assemblies of God, linalojulikana kama Sayuni, wamekamatwa baada ya watoto wanne kudaiwa kuunguzwa kwa maji moto wakati wa ibada ya kufukuza pepo wabaya.
Kwa mujibu wa taarifa, watoto hao walipata majeraha makubwa ya kuungua baada ya...
Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:-
"Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa...
Dini ni nini?
Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo mzima wa maisha.
Neno hili limetokana na neno la Kiarabu "Ad-din" (اﻟدﻴن), lenye maana ya utaratibu...
Pakistan: Takriban watu 31 wamepoteza maisha, wakiwemo maafisa 16 wa polisi na majeruhi wasiopungui 100, katika shambulio la kujitoa mhanga kwa gari lililokuwa na vilipuzi kwenye msikiti ulioko ndani ya kambi ya polisi ya Kohat (Kohat Police Lines) huko Khyber Pakhtunkhwa wakati wa sala ya...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado ameshiriki Ibada ya Jubilei ya Miaka 25 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Filbert Mhasi wa Jimbo Katoliki Tunduru Masasi iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa la Mtakatifu Xavery Tunduru, Agosti 23, 2026.
Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la Arise and Shine (maarufu kama kanisa la Mwamposa).
Viwanja hivyo vimeendelea kuwa na shughuli mbili...
Kuna utaratibu mzuri umewekwa na baadhi ya Dini namna nzuri ya kuhudhuria Ibada.
Kuna Dini zenye Ibada zaidi ya Moja Ili kuhakikisha Kila mtu anapata nafasi ya kupata mawili matatu kutoka kwenye neno la Mungu.
Mojawapo ya maana ya Neno Ibada ni kumheshimu, kumshukuru, na kumuabudu Mungu kwa...
Ukiachana na serikali kwenye makusanyo ya hela sehemu nyingne wanapokusanya hela nyingi ni nyumba za ibada , ( kanisan &misikitini)
Kama ilivyo serikalini kuwa na wadokozi wa hela ndivyo ilivyo kwa nyumba za ibada
Viongozi wengi wa dini ni wezi na wahujumu uchumi wa nchi pamoja na washirika...
Siku wakizeeka hawa wanaofanya siasa sahz ndipo Tanzania tutakuja kuwa na kizazi chenye siasa za malengo na kizalendo (functional politics)
Kitakuja kizazi ambacho hakitataka kijue hata historia ya Tanzania kitaanzisha siasa za kisasa ambazo zitajikita zaidi kwenye kulinda heshima ya nchi...
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba sehemu kubwa ya vijana wa kizazi cha Gen Z hawahudhurii nyumba za ibada (Msikitini&Kanisani) mara kwa mara kama vizazi vilivyopita, lakini si kwamba wote wameacha dini au ibada.
Kinachoonekana zaidi ni kwamba wengi wanajiita “spiritual” kuliko “religious”, baadhi...
Habari za Ijumaa wana JF.
Mimi leo nimeona nije na hii mada tajwa nahitaji kujifunza mambo ya asili hasa matambiko faida zake pamoja hasara zake kama zikiwepo.
Na vitu gani vinatakiwa katika kukamilisha zoezi hilo la kutambika.
NB: Mimi asili yangu mkurya itapendeza sana kurya iwe case study...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.