Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,107 Reaction score 197,675 Aug 16, 2026 #21 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
H Huyu Ndiye JF-Expert Member Joined Jan 23, 2026 Posts 221 Reaction score 479 Aug 16, 2026 #22 Andaa laki 4 hivi, kuna "NABII" yupo pale riverside Ubungo, utaambiwa hiyo pesa inahusisha kununus mayai kadhaa, chumvi, mafuta nk., na maombi. Jiandae upewe coordinates
Andaa laki 4 hivi, kuna "NABII" yupo pale riverside Ubungo, utaambiwa hiyo pesa inahusisha kununus mayai kadhaa, chumvi, mafuta nk., na maombi. Jiandae upewe coordinates
Samson Ernest JF-Expert Member Joined Aug 28, 2014 Posts 1,243 Reaction score 1,751 Aug 16, 2026 #23 Maombi ni bure rafiki, huhitaji kutoa kiasi fulani uombewe.
Sozo_ JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 3,278 Reaction score 6,201 Aug 16, 2026 #24 Useme tu umekutana na nini
Makox Senior Member Joined Jan 19, 2014 Posts 134 Reaction score 175 Aug 24, 2026 Thread starter #25 All Asanteni sana Kwa mawazo, majibu na ushauri wenu nyote Kwa huu unzi wangu. Nimepewa majibu muhimu niliyokuwa nayahitaji. Be blessed
All Asanteni sana Kwa mawazo, majibu na ushauri wenu nyote Kwa huu unzi wangu. Nimepewa majibu muhimu niliyokuwa nayahitaji. Be blessed