Sababu alizo zitoa Tundu Lissu mahakamani leo baada ya hukumu na kukataliwa kwa ukimya wa majaji walah vizazi vyao vitalaaniwa.
Nimewahi kujiuliza hivi kwa nini Mahakimu wastaafu wa Tanzania baada ya kustaafu kwao vizazi vyao ukumbwa na mikosi kama utaila na kadhalika? Sio tu mahakimu hata...
Wakati fulani nilipanda dala dala moja wa abiria akamwambia kondakta nirudishie chenchi yangu (50) niwaze mambo mengine.
Maana yake ni kwamba yule abiria alikua muda wote anaiwazi hio 50
Ni kiasi kidogo sana ila illi kuwa inampa shida ya kuzingatia muda wote kwamba konda hajanirudishia hela...
Tunaiomba Serikali kufuatilia utendaji wa Msajili wa Vizazi na Vifo Wilaya ya Kilombero, ambaye huchelewesha utoaji wa vyeti vya kuzaliwa licha ya waombaji kukamilisha na kuwasilisha mahitaji yote yanayotakiwa.
Hali hii inaleta usumbufu kwa wananchi tunaohitaji huduma hiyo, huku kukiwa na...
Anonymous
Thread
katika
kilombero
kutoa
kuweka
kuzaliwa
mahitaji
maombi
vifo
vizazi
vizazi na vifo
vyeti
vyeti vya kuzaliwa
Wakuu, salaam.
Leo naleta jambo linalowagusa wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuhusu zoezi la Room Shopping 2026/27 lililotangazwa na DARUSO kupitia Wizara ya Maji, Makazi na Mazingira.
Ratiba iliyotangazwa:
3 Novemba: COICT Hostels, saa 4:00 asubuhi
4 Novemba: Magufuli na...
Katika mchakato wa kuomba mkopo kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), tumekutana na changamoto inayohitaji ufafanuzi.
Inaonekana kuwa pale HESLB inapokurejeshea ombi lako ili ufanye marekebisho kwenye baadhi ya nyaraka, ombi hilo huchelewa kufanyiwa kazi tena hata baada...
Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU.
Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni
Uzinzi
Kuiba Mali za watu
Kutamani Mali/mke wa mtu...
biblia
dhambi
dini
huwa
jukwaa
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kifo
kufanya
kufanya siasa
kukiuka
kuzua taharuki
kwasababu
maagizo
maombi
mungu
nyingine
siasa
taharuki
tec
unafiki
uongozi
vifo
viongozi
walokole
wanafiki
NDIO nayo humuomba Mungu pale yanapohitaji Kufanya Kazi zao na Hukubaliwa.. Na Yatakufanya Vyovyote Yanavyotaka.
Ewe Binadamu Kiumbe Kumbuka Hili kwamba Hata Mapepo Yana nafasi Mbele za Mungu Kumuomba Na Kwa Kuwa Mungu ni Mwenye HAKI huyaruhusu pale Inapofaa na Ndio maana ya Neno haki. Mungu...
Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
Wahitimu wa ngazi ya Diploma kwa mwaka wa masomo 2025/2026 tunakabiliwa na changamoto ya kushindwa kuomba nafasi za masomo ya Shahada kwa mwaka huu kutokana na matokeo yetu kutokuwa yamewekwa kwenye mfumo hadi sasa.
Hadi wakati huu, bado hatujapewa taarifa rasmi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa...
Baadhi ya Watumishi wachache wa Halmashauri ya Busokelo - Mbeya, wenye zaidi ya miaka mitatu tunahangaika na uhamisho, familia zipo mkoa mwingine tunatumia gharama kubwa kwenda kuwaona.
Mwaka jana 2025 walitoa ujumbe kwenye account zetu za ESS kuwa wanaotaka kuhama kuwafuata wenza wao waandike...
Anonymous
Thread
halmashauri
majibu
maombi
mbeya
miezi
tamisemi
uhamisho
zaidi ya
Chochote unachofanya katika maisha haya, usisahau jambo moja: umaskini hauondoki kwa moto.
Unaweza kutumia siku saba usiku kucha ukipiga kelele ukitazama dari, ukitokwa na jasho chini ya madhabahu, ukifunga na kujaribu “kumfunga” shetani wa kufikirika lakini mwenye nyumba bado atafika tarehe...
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Geita, Bw. Martin Rwegoshora, amewataka wananchi kufika katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika Viwanja vya Maonesho ya Madini mkoani humo ili kupata elimu kuhusu matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi.
Bw. Rwegoshora amesema Wizara imeendelea kuingia katika mfumo...
Maombi ya Yabezi yanatoka katika Biblia kwenye Kitabu cha 1 Mambo ya Nyakati 4:9-10.
Yabezi alikuwa mtu aliyekuwa na mwanzo mgumu kwa sababu mama yake alimzaa kwa uchungu na kumpa jina "Yabezi" linalomaanisha "maumivu" au "teso." Hata hivyo, hakukubali jina lake au mazingira yake yamainishe...
TAARIFA KWA WAOMBAJI WALIOSHINDWA KUTUMA MAOMBI YA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imepokea maombi kutoka kwa baadhi ya waombaji wa udahili, hususan wenye sifa za Stashahada ambao kutokana na kuchelewa kupata Namba za Utambuzi wa Tuzo...
Habari, naomba nianze kwa kuomba radhi kwa usumbufu. Ningependa kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye uhusiano wa kikazi au mtandao unaoweza kunisaidia. Naomba msaada wenu, wakuu. Nina miaka 23, na nina elimu ya chuo kikuu
Nafanya kazi kama Mwalimu wa Shule ya Msingi katika Wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma, kero yangu kubwa ni kuhusu kuchelewa kwa vibali vya uhamisho wa kubadilishana kwa watumishi wa kada mbalimbali nchini.
Nimekuwa nikifuatilia uhamisho wa kubadilishana sababu familia yangu ipo Singida. Nilianza...
Anonymous
Thread
kubadilishana
maombi
mrefu
muda
muda mrefu
tamisemi
uhamisho
Habari Wakuu,
Umechosha na foleni? Umechoka na mfumo unakwama? Umejaribu kujaza maombi lakini umekwama katikati?
Usijali tena.
Nipo hapa kukupa suluhisho la haraka, la uhakika na la kitaalamu kwa huduma zote za serikali na kitaaluma mtandaoni. Kazi yangu ni kuhakikisha unapata huduma yako kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.