Heri ya siku ya Wanaume duniani

Heri ya siku ya Wanaume duniani

TANESCO

Official Account
Joined
Jul 12, 2014
Posts
5,470
Reaction score
3,092
Mwanaume anaweza kusema “niko njiani” akiwa bado anaoga, akasema “hela ya ada ipo” wakati anasubiri mshahara, na akasema “hakuna shida” wakati kichwa kina mambo 100 na yote hayaendi!

Leo tunawapongeza wanaume wote wanaopambana kila siku kuleta maendeleo katika familia na jamii.

Tunajua ungeweza kutumia pesa unayonunulia umeme kwa mipango mingine na Wakati mwingine hata unapunguza matumizi yako binafsi ili kuhakikisha nyumbani hapazimiki!

Hebu watag tuwatambue na kuwapongeza wanaume wote wanunuaji umeme kwenye comments.
Whatsapp leo.jpeg
 
Mwanaume anaweza kusema “niko njiani” akiwa bado anaoga, akasema “hela ya ada ipo” wakati anasubiri mshahara, na akasema “hakuna shida” wakati kichwa kina mambo 100 na yote hayaendi!

Leo tunawapongeza wanaume wote wanaopambana kila siku kuleta maendeleo katika familia na jamii.

Tunajua ungeweza kutumia pesa unayonunulia umeme kwa mipango mingine na Wakati mwingine hata unapunguza matumizi yako binafsi ili kuhakikisha nyumbani hapazimiki!

Hebu watag tuwatambue na kuwapongeza wanaume wote wanunuaji umeme kwenye comments.View attachment 3712967
Hahaha haha.
TANESCO nyie noma sana. Mheshimiwa Temba mlimsababishia kujipatia utelezi kirahisi sana.

Wasalimie wale mafundi wa nguzo, huwa napenda sana nyimbo zao za hamasa
 
Katika mashirika ya kiume angalau hapa tanzania ni TANESCO, ila nataka kufahamu, kuna vitongoji, wananchi walikuwa wanalazimishwa kufyeka njia ili nguzo zifikiswe kwenye vitongoji, najiuliza, ina maana serikali ilishindwa kulipa watu ili wafanye kazi hiyo ama ndo kuwatesa tu wananchi. nawasilisha
 
Mwanaume anaweza kusema “niko njiani” akiwa bado anaoga, akasema “hela ya ada ipo” wakati anasubiri mshahara, na akasema “hakuna shida” wakati kichwa kina mambo 100 na yote hayaendi!

Leo tunawapongeza wanaume wote wanaopambana kila siku kuleta maendeleo katika familia na jamii.

Tunajua ungeweza kutumia pesa unayonunulia umeme kwa mipango mingine na Wakati mwingine hata unapunguza matumizi yako binafsi ili kuhakikisha nyumbani hapazimiki!

Hebu watag tuwatambue na kuwapongeza wanaume wote wanunuaji umeme kwenye comments.View attachment 3712967
Ukiwa mwanaume halisi yaani unatembea umebeba watu... KICHWANI 😌😔

Wanaume ukipata muda Jipe pole kweli tena vaa vizuri, kula vizuri piga mvinyo kidogo
 
Leo nawapongeza wanaume wote wa Tanesco wanaopambana kuhakikisha nchi inapata umeme.
Kazi wanayofanya ni kubwa na nzuri.
Keep it up.
Nimemwambia MD, early next year kila staff apate honorarium isiyopungua Tsh milioni 2.
 
Sikujua kama kuna maadhimisho ya siku ya wanaume.

Heri ya siku yenu, Ikawe heri katika mapambano yenu ya kila siku, Mkizipata mjitahidi kujispoil.
 
Back
Top Bottom