Umeleft?lolote liwakute
Tutaendelea kuwapambania ingawa heshima yetu haithaminiwiPambaneni tunawaombea.
Maana hakuna namna
Na nyie mtutunzie...Mungu awatunze
Na uhakikishe una bikra wakati huo anakupenda ili akupende zaidiUkitaka kujua mwanaume ana roho nzuri subiri akupende.
Bi mdashi ndie anatumia muda mwingi kukaa na watoto tofauti na Baba.Tutaendelea kuwapambania ingawa heshima yetu haithaminiwi
sisi ndio tuna suply tumizi kwa maza na machali skani
sisi ndo tuaanzisha familia ila cha ajabu credit zotee zinaenda kwa ma bi dashi!
Utegemezi kwenye nini? Rahisi sana, Mungu anatutunza na nyie tutunzieni...Inategemea 😊
Well noted...Sawa tunawatunzia kama tu mnahudumia vizuri.