MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,528
- 153,387
Yeah,wakati sahihi,,,wakutunga mistari yako😁😂 haka ka uzi kamekuja kwa timeline yangu vipi MawardatDellapina unazungumziaje true luv
Yeah,wakati sahihi,,,wakutunga mistari yako😁😂 haka ka uzi kamekuja kwa timeline yangu vipi MawardatDellapina unazungumziaje true luv
Nacheka coz sikusoma hata Uzi unahusu nn!?🙌Swali limeulizwa hav u ever been in luv? Nataka unipe majibu yako sio yangu.
Sasa ushasoma kwahio signoraNacheka coz sikusoma hata Uzi unahusu nn!?🙌
Ndiyo nishasomana.Sasa ushasoma kwahio signora
Daah😁Ngoja nikueleze ukweli hapahapa hamna mwanaume atakayekupenda bure kitu cha kwanza atatamani akuchungulie ndo kitu cha kwanza kabisa katika huo upuuzi wenu unaouita love.
Love is not for everyone 😁😁.Sasa ushasoma kwahio signora
Ukiwa na maana hujawahi penda wala kupendwa.Love is not for everyone 😁😁.
Hapana,Ukiwa na maana hujawahi penda wala kupendwa.
Ukiwa na maana gani sasaHapana,
Nilishawahi,lkn mapenzi yenyewe yakanitoroka.Ukiwa na maana gani sasa
Ujeuri wako umezidi ndio maana.Nilishawahi,lkn mapenzi yenyewe yakanitoroka.
😁😁😁,jeuri kukuzidi?Ujeuri wako umezidi ndio maana.
Wee ni zaidi ukiamuaga kunipa stress tu unajua kwakweli, ila punguza ujeuri maana kutwa kucha moyo unadunda kwaajili yako.😁😁😁,jeuri kukuzidi?
Hadi kichwa kipate moto hicho💃Wee ni zaidi ukiamuaga kunipa stress tu unajua kwakweli, ila punguza ujeuri maana kutwa kucha moyo unadunda kwaajili yako.