win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,579
- 39,376
😅😅😅😅 nimecheka walahi,, mi hata sijui kwa kweliUlikuwa unatafuta nino huku😂🙌🏾
Au true love?
😅😅😅😅 nimecheka walahi,, mi hata sijui kwa kweliUlikuwa unatafuta nino huku😂🙌🏾
Au true love?
popcorn za asili ndo zipoje mkuuSasa je, mama nanii leta maboboro hapa(popcorn za asili)
Sawa 😂🙌🏾 na Uzi tumekupa wewe sasa🤭😅😅😅😅 nimecheka walahi,, mi hata sijui kwa kweli
ndio mnielekeze taratibu Tutaelewana tuMtazamaji/Shabiki
NB: Tunakusubiria ujue.
popcorn za asili ndo zipoje mkuu
Jiachie uwanja ni wako Mama.ndio mnielekeze taratibu Tutaelewana tu
na nimejiachia kweli sio kitotoJiachie uwanja ni wako Mama.
I've never been in love
whyI've never been in love
Njoo kule nikupe mkanda mzima. Ila ni kweli kabisa, na sijui kama nitakuwa in love any time soon.
Alijuaje huyu mtoa mada😁😂 haka ka uzi kamekuja kwa timeline yangu vipi MawardatDellapina unazungumziaje true luv
Tupe majibu basi mbona kama unajikaushaAlijuaje huyu mtoa mada😁
Hapa jibu unalo weye.Tupe majibu basi mbona kama unajikausha
Swali limeulizwa hav u ever been in luv? Nataka unipe majibu yako sio yangu.Hapa jibu unalo weye.