Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,881
- 26,407
Hapana wengine tuko mwaka wa kumi tunayeya tu, inategemeana ntu na ntuNi ubatili mtupu hamna raha huku,ndoa ni mateso,ndoa ni kifo,ndoa haina uhuru,ndoa hakuna amani,ni chama katili kabisa.

Nyeto gani tena mkuu 😄😄na mbunye zimejaa tele mtaaniOa kijana nyeto zotakuua fwala wewe
🤓okay okay….asipige ukunga sasaTwende na makebo nidhamu watatumia ya mme