Hasara za ndoa!

Hasara za ndoa!

Woga tu wa kubeba majukumu

Maisha ni challenge bila hivyo hutajakaa ukomae na kua mtu mzIma anayeheshimika na kutegemeka

Usikimbie matatizo badala yake kabiliana nayo
 
nakataa ndoa daima.sitak utapel maishani.
Upo huru, nadhani hakuna anayelazimishwa kuingia kwenye ndoa. Kitendo cha wewe kuja kulalamikia juu ya ndoa, ni ishara ya wazi kwamba unatamani kuwa kwenye ndoa, ila unaikataa kwa sababu ya mazingira.
 
Back
Top Bottom