Tutabak kuvunwa tu sisi wakati mali tunazo na nchi itabaki masikin na watu wake wakiwa hoi kwa huu uongozi.
Hivi kwani selikal yetu haiwezi kusimamia au kukopesha watanzania wakachimba na kuichakata dhahabu na tukawauzia tofari hao waarabu na wazungu?