FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Alvarez anashindwaje kwenye nafasi kama ile?

Mapema yake mwa Barca anataka kuigharimu timu huyu dogo
 
Atletico wakiendelea kucheza hivi hivi sioni namna ya Barva kuweza kupindua matokeo.

Atletico wamekuwa clinical karibia maeneo mengi. Kwanza wakipoteza mpira wanakaba kwa idadi kubwa na kuwafanya Barca wasitawale mpira.
 
Mechi ingeisha tu
Screenshot_20261108-232121.png
 
Hanc Flick ni mbinu zimeishagunduliwa na wapinzani au vijana kombe la dunia limedrain nguvu yote
 
Prime Barcelona 2026💀🔥:
"Give us Ucl Final" (Tickets)
"Give us Ronaldo" (JR)
"Give us Messi" (Thiago)
"Give us Chelsea" (Woman)
"Give us Real" (Betis)
"Give us Manchester" (United)
"Give us Inter" (Miami)
"Give us AC" (It's very hot)
"Give us Real Madrid" (Jersey)
"Give us Harry" (Maguire)
"Give us Paris" (FC)
"Give us City" (Leicester)
"Give us Mbappe" (Ethan)
"Give us Bellingham" (Jobe)
19222.jpg
 
Atletico wakiendelea kucheza hivi hivi sioni namna ya Barva kuweza kupindua matokeo.

Atletico wamekuwa clinical karibia maeneo mengi. Kwanza wakipoteza mpira wanakaba kwa idadi kubwa na kuwafanya Barca wasitawale mpira.
Barca atabaki kuwa Barca tu

Au alijua na sie utopolo km Man U!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom