Fadlu ajiandae mapema hafiki krismas 2026!

Fadlu ajiandae mapema hafiki krismas 2026!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,211
Reaction score
19,143
Kuna sababu kama tatu hivi ambazo zitamfurusha yanga hata kabla ya krismas 2026.
1. Mashabiki wa yanga wana njaa kali ya kutaka timu yao icheze mpira wa kuvutia na kushambulia kama ambavyo simba inacheza kwa sasa. Fadlu hataliweza hilo na mashabiki wa yanga hawanaga uvumilivu!
2. Fadlu hataweza mchuani wa kiufundi na Steve Barker wala Ibenge!! Hilo litawakera sana mashabiki wa yanga na watamzodoa fasta!
3. Fadlu mwenyewe hana ngozi ngumu ya kuvumilià lawama! Atatimuka kabla hajatimuliwa!
 
Nilifurahi sana yanga walipomchukua huyu k9cha maana tutaendelea kuwadunda huku tukiwachezea pira la kitabuni.
 
Back
Top Bottom