mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Fadlu ajiandae mapema hafiki krismas 2026!

    Kuna sababu kama tatu hivi ambazo zitamfurusha yanga hata kabla ya krismas 2026. 1. Mashabiki wa yanga wana njaa kali ya kutaka timu yao icheze mpira wa kuvutia na kushambulia kama ambavyo simba inacheza kwa sasa. Fadlu hataliweza hilo na mashabiki wa yanga hawanaga uvumilivu! 2. Fadlu hataweza...
  2. M

    Tusisubiri ugonjwa utufundishe umuhimu wa bima ya afya. Tuchukue hatua mapema

    BIMA YA AFYA KWA WOTE NI WAKATI WA KILA MTANZANIA KUCHUKUA HATUA KULINDA AFYA NA UCHUMI WA FAMILIA YAKE Na GULATONE MASIGA Kuna mambo mengi ambayo mwanadamu anaweza kuyapanga katika maisha yake, lakini si rahisi kupanga siku atakayougua, aina ya ugonjwa utakaomkabili wala gharama atakazohitaji...
  3. 1995El

    KUNA JAMBO MOJA NILILOJIFUNZA BAADA YA MSIBA, NA KAMA NINGELIELEWA MAPEMA, NINGEISHI TOFAUTI.

    KUNA JAMBO MOJA NILILOJIFUNZA BAADA YA MSIBA, NA KAMA NINGELIELEWA MAPEMA, NINGEISHI TOFAUTI. Leo niko na wazee wangu baada ya kipindi kigumu cha msiba. Nimekaa nikitafakari mambo mengi kuhusu maisha, familia na muda ambao tunao duniani. Kuna kitu nimekielewa kwa ukubwa sana: Ukiwa bado na...
  4. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwanini watu wa ulaya wana akili/kujitambua mapema kuliko Africa? Je ni malezi au mazingira?

    Nilikuwa naona video moja streamer huko Instagram, akakutana na mtoto wa kiume miaka 6, huyo streamer akamuuliza what's the meaning of life? Huyo dogo akajibu "I don't know but I think Practice (kujijenga) , love (upendo), creativity (kuumba) imebidi nitafakari kitu kitu kimoja kwanini mtoto wa...
  5. B

    KERO Tunaomba UDOM kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa program za masomo

    Tunaiomba uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa programu za masomo (Course Transfer). Wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao huwasilisha maombi mapema hulazimika kusubiri majibu kwa muda mrefu, huku masomo na moduli za...
  6. L

    Soma Hapa Uelewe na Kupata Ufahamu Juu ya Maana ya El Nino. Na Kwanini Serikali imechukua Tahadhari ikiwepo kufunga Shule Mapema .

    Ndugu zangu Watanzania, El Niño maana yake ni nini? El Niño ni hali ya mabadiliko ya hali ya hewa inayotokea pale maji ya bahari ya Pasifiki katika ukanda wa ikweta yanapokuwa na joto zaidi kuliko kawaida. Hali hii hubadilisha mifumo ya mvua na joto katika maeneo mbalimbali duniani, ikiwemo...
  7. Ngongo

    CDM mkiendelea kutumia jeshi la mtu mmoja hakika mtaanguka asubuhi na mapema.

    Heshima sana wanajamvi. Tanzania ni kati ya nchi kubwa Barani Afrika.Ukubwa wa Tanzania ni 947,303 Sq Km. Ukizichukua Kenya,Uganda,Rwanda & Butundi kwa pamoja bado hazijafikia ukubwa wa Tanzania. CDM pamoja na kuwa na muundo mzuri wa kiuongozi yaani Kanda,Mkoa,Wilaya na Kata bado inategemea...
  8. Hyrax

    Mwanaume: Tabia 5 ambazo ukiziendekeza basi fahamu kwamba kufa mapema au kwenda jela kwako ni jambo lisiloepukika.

    1. Tamaa ya Mali na Fedha 2. Kiburi na Ujuaji 3. Wizi na Utapeli 4. Dhambi za Zinaa na Uzinzi 5. Hasira zisizo na mipaka
  9. Gunner11

    Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

    Sio kwa nia mbaya, Yaani mwanamke wa kibongo(average one) anacho offer mara nyingi ni ngono tu.. Kinacho weka mahusiano sio ngonopekee bali ni mutual love and responsibilities. Si semi kubeza watu ama kuanzisha makundi ya ku bully watu, Ila naongelea uhalisia uliopo nje na tumeweza ku...
  10. O

    # 🚘 UNAPANGA KUAGIZA GARI JAPAN, UK, AU JAPAN? PANGA FEDHA MAPEMA KUPITIA OZB FINANCE AGENT!

    Habari za wakati huu wanajukwaa la JamiiForums! 🇹🇿 Je, umekuwa na ndoto ya kuagiza gari kutoka Japan au nchi nyingine, lakini changamoto ya mtaji imekuwa kikwazo? Au tayari gari lako limefika bandarini Tanzania, lakini unatafuta namna ya kugharamia ushuru wa forodha na gharama nyingine za...
  11. M

    Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  12. Mshana Jr

    Weekend loading, maandalizi ya mapema kama mnavyoona!

    Nini kimesahaulika hapa❓❔ Nini kisikosekane.❗💪🏿❓❕
  13. M

    Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama za Interior, Tairi na Rim. Tenga bajeti ya ziada mapema ili usije ukahangaika baada ya kununua gari

    Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama zinazoweza kuja baada ya kulinunua. Unaponunua gari, ni muhimu kutenga bajeti ya ziada (Buffer Amount) kwa ajili ya kuboresha au kubadilisha baadhi ya vitu muhimu kama Tairi, Rim na Interior. Tairi na Rim Kwa hali ya barabara zetu zilizojaa...
  14. M

    Ama kweli tunatofautiana , Mfanyabiashara umehaso hatimae una bilioni 10, unaendelea kuhaso kumfurahisha nani ? wengine tukizipata tunastaafu mapema

    Ama kweli tunatofautiana. 😂 Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10 zisizo na minyororo ya madeni, lakini bado haziwatoshi. Wengine tukizipata hizo bilioni 10 tu, tunastaafu mapema kabisa. Biashara zenyewe hizi kwetu wabongo kama mnavyojua ukishatangulia warithi wanachowaza ni kuziuza...
  15. Setfree

    Jihadhari, utakufa mapema bure kwa sababu ya uchungu ulio nao!

    Watu wengi wamejaa uchungu kwa sababu ya mambo yanayotokea huku na kule duniani. Kuna mtu ana uchungu kwa sababu ya madeni, kukosa kazi, biashara kufilisika au maisha kuwa magumu. Mwingine ana uchungu kwa sababu ya kuachwa na mke/mume, au kusalitiwa, kukataliwa au kufiwa na mtu anayempenda...
  16. Manyanza

    P.Didy kutoka gerezani mapema baada ya tarehe kubadilishwa

    Rapa na mfanyabiashara wa muziki wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, ameongezewa matumaini ya kutoka gerezani mapema baada ya tarehe yake ya kuachiwa kusogezwa mbele kwa mara nyingine. Kwa mujibu wa taarifa mpya kutoka Bureau of Prisons, Diddy ambaye anahudumu kifungo katika Federal Correctional...
  17. Dogoli kinyamkela

    NILITOA UNABII NAPO TOA UNABII NATOA TAARIFA MAPEMA. MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿

    NILITOA UNABII NAPO TOA UNABII NATOA TAARIFA MAPEMA. MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿
  18. Sprouts pre School

    Rachel dangwa ilibidi akamatwe Mapema sana maana alikua anatumia matusi ya nguoni

    Habari Hatukatai kwamba kwa sasa serikali inafanya mambo mengi ambayo wananchi hawayafurahii na kiwango cha uungwaji mkono ni kidogo sana kulingana na aina ya utawala uliopo Matukio mengi yanayoripotiwa kama ukosefu wa uwajibikaji ,vitendo vya rush wa, utekaji ,mauaji ya raia wasiokua na hatia...
  19. Y

    Ningejua mapema ningeoa

    Habari Wana JF Kwa maisha ya sasahivi ya vijana wakiume na utandawazi uliopo yanaelekea hatarini Nakumbuka kipindi nakuaa nilipoanza form 3 katika kupigapiga story darasani ziliingia story za mahusiano ambazo zilianzishwa na kijana mmoja. Inshort katika story hizo mada iliyobadilisha maisha...
Back
Top Bottom