Ewe mwanaume, hupendwi kama unavyodhani

Ewe mwanaume, hupendwi kama unavyodhani

🧖 maisha yashakuwa marahisi usiyafanye kuwa magumu
 
Usiwasemee wanawake wote mbona mimi napendwa!!!

Mnaolea bar alafu kila kukicha mnakuja na maono binafsi hapa.

Ukiona unateseka na ndoa ujue hauna akili na hautoshei kuishi na mke.
 
Inasikitisha sana, hayanaga miongozo, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom