eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Pre season hukuenda bure kaka ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ nimekula chuma tatu safi kabisa...

Mazoea ya kucheza na Ai ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Nilitaka usipate goli mkuu, kabla ya mechi nilitaka nikwambie ushindi wako pekee leo ni kupata goli ๐Ÿ˜‚.

Nilikuwekea mbappe mbavuni kukuonyesha kuwa huo mfumo wako utakuwa ukifungwa sana kutokea pembeni.
 
Back
Top Bottom