eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Fantasy League naongoza kwenye crew
Screenshot_2025-05-01-12-32-54.png
 
Inanisumbua kwenye transition kutoka kukaba kwenda kushambulia...

Naona mara nyingi messi anakuwa sehemu sio sahihi kwa hiyo napoteza mipira...

Ngoja nimaster 4222
Ungekomaa kumaster 4-3-1-2, night nitakufanya uachane na 4-2-2-2 ๐Ÿ˜‚.
 
Kabla hatujaingia uwanjani tayari umeisha ๐Ÿ˜‚, nikitumia LBC kwa hizo nafasi kwenye flanks utakimbia ila QC inatosha kutumia hizo flanks ๐Ÿ˜‚.
Unamjua lakn pedri kaka pedri Gonzalez๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Back
Top Bottom