Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Konami wakininyoosha nahamia kwenye movies/series ๐Unakofeli ni wapi? ๐
Huna hata wa kukupa pole konami akikunyoosha
Konami wakininyoosha nahamia kwenye movies/series ๐Unakofeli ni wapi? ๐
Huna hata wa kukupa pole konami akikunyoosha
Utamfunza mdo mdo mwende sawa๐Kuokoka kutokee wapi? Mama mtumishi hawezi vumilia kelele za Batistuta ๐๐
๐๐ Unazungumzia EdoKuwa upande wangu, nitetee huyo kijana ananiandama sana ๐
Kapata mpenzi kule selfika basi ananioshea sana ๐๐
Mbona uzi wa movie hufiki kushea hizo taarifaKonami wakininyoosha nahamia kwenye movies/series ๐
Uwezo mdg๐Ananinyanyasa ๐
Kaka kimetokea nini asee๐๐
Huyo balaa atakuja kuwapa uchambuzi ๐ค ๐๐ค ๐๐คKaka kimetokea nini asee๐๐
Mamiyake๐คฃJichagulie tusi mkuu ๐๐
Si tulikubaliana penzi limekufa tangu Oct 29 ๐
Kapigwa mibutiKaka kimetokea nini asee๐๐
Hapa kwenye miwani umemaanisha ya kiswahili au ya kizungu? ๐Sa uliyemtag mbona umechochora? Maana huyo anazikata tu zikiingia๐ anachagua konami kuliko bibi ake
Unacheza usiku ili tunaovaa miwani iweje?
Na unamsikiliza kabisa huyo fala ๐๐ basi akafie mbele
Hujui miwani? ๐Hapa kwenye miwani umemaanisha ya kiswahili au ya kizungu? ๐
Ewaaah! Ba mtu tuma code ๐Wa kwenda nae room๐คฃ
Ndege wafananao๐คฃNa unamsikiliza kabisa huyo fala ๐
Aah sijui hata linaendeleajeSi anapenzi jipya huyo ๐
Mamiyake๐คฃWe kichwa ๐