Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Kuna mtu aliniuliza nitapata vipi mwanamke na muda wote uko busy na game ๐Utakufa single nyau wewe๐
Mapenzi yanakuwa mazuri pale tu unapopata mtu sahihi.
Khalas ๐๐
Kuna mtu aliniuliza nitapata vipi mwanamke na muda wote uko busy na game ๐Utakufa single nyau wewe๐
We kaa kwa kutulia likizo yangu ikiisha utajua tu ๐Unajisahaulisha, fresh mwanetu๐๐พ
Daah! Hii taarifa mbona sina mkuu ๐๐Kana babe inamtaka humu kanaipuuza๐๐๐พ
Unadeka sana kaka ๐๐Kwahiyo ukija kwangu unachapa buti kwingine unawalea ๐
Basiii kuna nini tena ๐๐ค ๐ค ๐คHahaha poa kaka, kwenye selection ya mwisho uta mchukua joshua kimich
Nikiumwa mimi hata muda na simu sina ndugu yangu Selikavu anajua ๐
Jichagulie tusi mkuu ๐๐Atakua Tayana๐๐๐
Achana na duvet wewe njoo huku unalalaje na hujanionja ๐๐ sa mbona nataka niingie kwenye duvet
Nitaua๐๐Selikavu nmekutag lkn sijakutagView attachment 3594404
Upo mkuuNitaua๐๐
Kuokoka kutokee wapi? Mama mtumishi hawezi vumilia kelele za Batistuta ๐๐Ameokoka? Au mnataka kumponza๐๐
Samsung Smart 8 mkuu๐๐Samsung aina gan hii
Selikavu kwani huna remote ya kusogeza siku mbele? ๐H
Hawezi kuja, akija hawezi kujitetea๐๐๐พ
Owaaa nina game za league huko nazingojea zijacheza hata moja kakaUpo mkuu
Fala sana ๐Sio kumponza kijana hataki.
Dah๐คฃWe mandonga
Unamlinda mkeo asichepuke au๐คฃUpon free kuanzia saa 4.
Leo nipo lindo๐๐๐พ
Kuwa upande wangu, nitetee huyo kijana ananiandama sana ๐Si anajua wokovu hana na yule wokovu umejaa ๐
Tutaarrange tena weekend ๐๐Mje basi kule kwa jana wakumcheka tumcheke yaishe๐