eFootball Special Thread

Mashabiki ume peleka wapi
 
Isco mwenyewe wakimpata atakaa benchi ๐Ÿ˜€
Nishapigwa game 3 mfululizo, naenda tena ila sasa naweka back 5 ๐Ÿ˜‚

Game limekuwa baya yani hakuna ushindani maana mtu akipata mpira ni clear/through baasi kwisha, beki zipo kuongeza idadi ya vivuli uwanjani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ