eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

NEGAN kuna mtu alikuloga tu mzee ๐Ÿ˜…
eFootballโ„ข_2025-08-17-10-04-19.jpg
 
Leo simu imetumika masaa 10+, sijawahi cheza game muda mwingi hivi ๐Ÿ˜‚

Sijawahi shinda goli la namna hii na huenda nisishinde tena kama hivi, sijui nimepigaje yani nimeshangaa naona nyavu zinatikisika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
View attachment 3443356
View attachment 3443357

Kwa hizi stats nadhani mpira uliochezwa hapo unajulikana
View attachment 3443360
View attachment 3443361

Jini katoka ila mganga yuko hoi, sasa ndo safari rasmi inaanza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Napumzika kwanza vidole vinanyevua ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
Mashabiki ume peleka wapi
 
Isco mwenyewe wakimpata atakaa benchi ๐Ÿ˜€
Nishapigwa game 3 mfululizo, naenda tena ila sasa naweka back 5 ๐Ÿ˜‚

Game limekuwa baya yani hakuna ushindani maana mtu akipata mpira ni clear/through baasi kwisha, beki zipo kuongeza idadi ya vivuli uwanjani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom