eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Mkuu nilikuwa nauhakika na mechi zangu chache tu niende dvn 3 nikaumane, kilichotokea sasa nimeshushwa dvn 5 ๐Ÿ˜‚

Kahn kwangu simsemi vibaya anajitahidi ila hili tukio la leo kanifurahisha, yani kaacha goli halafu kaanza kufoka au sijui alikuwa anashangilia alivyopangua lile shuti mpaka muda huu sijamuelewa alikusudia nini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hahahaha vita ni kali aisee mpaka division 5๐Ÿ˜…โ˜ ๏ธ
 
IMG-20250816-WA0016(1).jpg

Hii card kumbe ni CP, hanifai ๐Ÿšฎ
 
Back
Top Bottom