Aiseee kweli sikuangalia vizuriNi Creative mwenye visionary pass
Leo nipo na simu itakoma, tangu asubuhi nahangaika aisee ๐๐๐Sio pow๐๐
Bado hujasema๐คฃ๐คฃLeo simu imetumika masaa 10+, sijawahi cheza game muda mwingi hivi ๐
Sijawahi shinda goli la namna hii na huenda nisishinde tena kama hivi, sijui nimepigaje yani nimeshangaa naona nyavu zinatikisika ๐๐๐
View attachment 3443356
View attachment 3443357
Kwa hizi stats nadhani mpira uliochezwa hapo unajulikana
View attachment 3443360
View attachment 3443361
Jini katoka ila mganga yuko hoi, sasa ndo safari rasmi inaanza ๐๐๐
Napumzika kwanza vidole vinanyevua ๐๐
Kwani baada ya hii update uwanja akichagua yule wa home ndo itatumika kote?Eeh kaka hii game nikasema umenifunga kisa Uwanja๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3442593
Iliyofata ukaweka pitch nzuri si ndo nikafa sita๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3442594
Leo simu imetumika masaa 10+, sijawahi cheza game muda mwingi hivi ๐
Sijawahi shinda goli la namna hii na huenda nisishinde tena kama hivi, sijui nimepigaje yani nimeshangaa naona nyavu zinatikisika ๐๐๐
View attachment 3443356
View attachment 3443357
Kwa hizi stats nadhani mpira uliochezwa hapo unajulikana
View attachment 3443360
View attachment 3443361
Jini katoka ila mganga yuko hoi, sasa ndo safari rasmi inaanza ๐๐๐
Napumzika kwanza vidole vinanyevua ๐๐
Hivi edged crossing si huwa zinaenda kwa ule mguu halisi wa mchezaji au?View attachment 3442885
Hii card kumbe ni CP, hanifai ๐ฎ
Na ntasema ๐๐๐Bado hujasema๐คฃ๐คฃ
Unionee huruma mkuu, kufika hapo nimehangaika masaa 10+ ๐View attachment 3443377
Nilichogundua bada ya hii update ukipata viberenge wako wawili pale mbele.. kwishaa umeshinda.
Mana Mbappe akipata tu mpira humkuti tena, na saivi nimezoea kucheza na zile One-Two passes ๐
We Razorblade nakuchawia utacheza mechi 50+ ndo uvuke hapo 3 kwenda 2 ๐
Ndiyo mnashare...Kwani baada ya hii update uwanja akichagua yule wa home ndo itatumika kote?
Kuna mtu nilikutana nae ana Owen na mbappe pale mbele owaa ni balaaa... Nan mimi niliweka mbona๐คฃ๐คฃView attachment 3443377
Nilichogundua bada ya hii update ukipata viberenge wako wawili pale mbele.. kwishaa umeshinda.
Mana Mbappe akipata tu mpira humkuti tena, na saivi nimezoea kucheza na zile One-Two passes ๐
We Razorblade nakuchawia utacheza mechi 50+ ndo uvuke hapo 3 kwenda 2 ๐
Lamine yamal ana cross zake kwenye game anapigia OuterHivi edged crossing si huwa zinaenda kwa ule mguu halisi wa mchezaji au?
Mana Yamal anatumia kushoto lakini anachezea kulia na hana matumizi sana na mguu wa kulia hizo cross zitakuwa zinaenda kweli au ndo kapewa tu hiyo skill ili tupite nae
Kakufunga leo๐๐๐Razorblade una roho mbaya ume invite ili uniue๐
Hata nilikuwa sielewi maana mwenyewe nilikuwa nasinzia ๐Razorblade una roho mbaya ume invite ili uniue๐
Nilidhani itakuwa network, hata hivyo mwenyewe nilituma invite basi tu ๐Razorblade nilipigiwa simu mkuu
Ungekuta mkeka humu tayari ๐Kakufunga leo๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃUngetamba week nzimaUngekuta mkeka humu tayari ๐