Hahahaha vita ni kali aisee mpaka division 5๐ โ ๏ธMkuu nilikuwa nauhakika na mechi zangu chache tu niende dvn 3 nikaumane, kilichotokea sasa nimeshushwa dvn 5 ๐
Kahn kwangu simsemi vibaya anajitahidi ila hili tukio la leo kanifurahisha, yani kaacha goli halafu kaanza kufoka au sijui alikuwa anashangilia alivyopangua lile shuti mpaka muda huu sijamuelewa alikusudia nini ๐๐๐
Acha tu mkuu hiyo match up nayo kichomi ๐Hahahaha vita ni kali aisee mpaka division 5๐ โ ๏ธ
Ulitaka๐คฃ๐คฃView attachment 3442885
Hii card kumbe ni CP, hanifai ๐ฎ
Ubahili tu๐View attachment 3442885
Hii card kumbe ni CP, hanifai ๐ฎ
Siitaki tena ๐Ulitaka๐คฃ๐คฃ
Mkuu nimefatilia vizuri, hawa creative playmaker siyo wazuri kwenye counter(wako slow).Ubahili tu๐
Apa ni ume nyanyaswaEeh kaka hii game nikasema umenifunga kisa Uwanja๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3442593
Iliyofata ukaweka pitch nzuri si ndo nikafa sita๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3442594
Aah hii update mpya siielewi kabisaApa ni ume nyanyaswa
Sio wewe tu nakosa magoal sana,Aah hii update mpya siielewi kabisa
Me division one ni mbali kwel๐คฃ๐คฃ๐คฃSio wewe tu nakosa magoal sana,
Mbona kama nimeona classic no. 10๐Razorblade Kwanza isco mwenyewe ni creative playmaker
Mbona mapema sana mkuu, ๐isco mwenyewe wa kawaida mbovu kweli kweli nimeachana nae๐๐
Duh ngoja nikaze basi๐Mbona kama nimeona classic no. 10๐
Hali sio๐Mbona mapema sana mkuu, ๐
Dvn kubaya, ni kukandwa tu ๐Razorblade Kwanza isco mwenyewe ni creative playmaker
Ni Creative mwenye visionary passMbona kama nimeona classic no. 10๐
Sio pow๐๐Dvn kubaya, ni kukandwa tu ๐
Hawa wengine wanatumia pad naona ๐