Turuke kakaVip kaka
Upo??Turuke kaka
Haupo onlineTuruke kaka
Wewe nakuinvite apo acha league hiyo
Niliingia na mill Broh๐๐Wewe nakuinvite apo acha league hiyo
Haikuwa siku yako nzuri leo๐Mill broh kwan ugomvi kaka๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Yan kama kushikwa leo nimeshikwa๐คฃ๐คฃ๐คฃ
View attachment 3442591
๐คฃ๐คฃ๐คฃSawaa kaka kesho nadhan nitaendelea na formula ile ile test your own medicine ๐คฃ๐คฃ๐คฃhaiwezekan uniwekee DMF Watatu sheikh unataka nipite wap๐คฃ๐คฃSelikavu tutaendelea kesho mkuu, mpaka vidole vinataka kuuma๐
Hapana ...Haikuwa siku yako nzuri leo๐
Eeh kaka hii game nikasema umenifunga kisa Uwanja๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3442592
Hivi huu uwanja uliuona๐
Nilikuona tu man unachange formation ulianza na 4222๐Hapana ...
Mfumo wako umenishika๐๐๐
Nilibadilisha kulud Quick Counter sasa ni kitambo na nimebadilisha gia angani inabid nizoee sasa QC maana hii update naona QC ndo ina balaa...๐๐๐ฅ
Nashukuru umenipa mfumo๐คฃ๐คฃ๐คฃnitaendelea nao hivyo hivyo na Alonso
Huu uwanja unacheza huoni hata kinachoendelea๐Eeh kaka hii game nikasema umenifunga kisa Uwanja๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3442593
Iliyofata ukaweka pitch nzuri si ndo nikafa sita๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3442594
NIlianza Division formation yangu ya 433 ikakataa nikala vipigo nikalud 4222 nikawa nashinda hivyo hivyo...Nilikuona tu man unachange formation ulianza na 4222๐
Yan kuna muda nimefata mtu mwingine kabisa na hana mpira๐คฃ๐คฃ๐คฃHuu uwanja unacheza huoni hata kinachoendelea๐
Sio poa me mwenyewe ilishantokea leo ,Inamaana huku kukata kwa game ndiyo script mpya au maana unaongoza wewe vizuri halafu game inakata ghafla, mechi 2 nimetoa loss kwa style hii ๐
Haya sasa tukio la ajabu lilitokea leo mnaweza msiamini ila Kahn kafanya ushenzi, limepigwa shuti kapangua vizuri sasa badala awahi mpira sijui ndo kaanza kujimwambafai au alikuwa anafoka huku kaacha goli wazi daah jamaa kaja kashinda kilaini mpaka nikawa nacheka ๐
Halafu kuna huyu mpuuzi nilitaka kumreport ila nilivyoona maneno kuwa siyo guarantee wao kuchunguza taarifa zote nikaghairi ๐ก
Tumeanza mechi tu nikamfunga mara hapohapo naona inaload kisha nikapewa loss dadeki ๐
View attachment 3442599
Mkuu nilikuwa nauhakika na mechi zangu chache tu niende dvn 3 nikaumane, kilichotokea sasa nimeshushwa dvn 5 ๐Sio poa me mwenyewe ilishantokea leo ,
Na inatokea mara nyingi ukiwa unaongoza ๐ญ
Kahn nilisikia watu wengi wanalalamika kwamba ni pazia๐