eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Mkuu nimeanza kuwa sheikh tena? ๐Ÿ˜‚

Halafu ile about yako naona imekaa kimkakati, vipi ni mulemule au umeghushi? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃAlafu mbona natumia sana hilo neno basi tu umeunganisha matukio ukaona linakuhusu ila ni kawaida...


Kuhusu about nimegushi tuu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
IMG-20250815-WA0024.jpg


NEGAN na wenzio mtulie kwanza, waacheni wenye nafasi zao wamuwahi Isco Alarcon ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃAlafu mbona natumia sana hilo neno basi tu umeunganisha matukio ukaona linakuhusu ila ni kawaida...


Kuhusu about nimegushi tuu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Siyo kwamba nimeunganisha matukio ila nilikuwa napiga hesabu huyu jangili na hii about wapi na wapi, imebidi niulize kwanza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom